Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)

Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Muulize Ally happi alichofanyiwa na wazee wa Iringa atakusimulia.
 
Wee uliwezaje VIP kwenda kwa wakinga mkuu Wala hukusema kuwa nyumba Ni ya Nani ulifikia je Ni nyumba ya mfanyakazi wako ama yako

Taja kijij ulivhokwenda mm naifahamu njombe yote
Unakujua malangali mkuu? Wilaya ya wangingombe
Nyumba ni ya kupanga ila nataka jamaa aniuzie yote maana ni vyumba viwili na sebule. Anasimamia nyumba hizo ni mwalimu mmoja ivi
 
Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)

Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Njoo mtwara nikuzindike yasikupate na wewe[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom