Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikitulia na kuhakikisha yameisha nitaleta ushuhuda. Hakuna kuchanjwa mkuu,mchawi ndo hupiga chale watuWeka ushuhuda hapa.
Hayo mazindiko Kuna kuchanja chale? [emoji23][emoji23] Kama kuchanja hapana
Hamna mkuu nilidhani labda umenitag nije kumpa jamaa msaada wa kisuna😂😂😂😂Kuna mtu alilazwa nje na wachawi..nikakumbuka yale mateso ya wale wachawi kule kwa Baba mdogo Mwalimu..hilo tu..pole kama nimekukwaza Mkuu.
Inaonekana hakupata madharaHamna mkuu nilidhani labda umenitag nije kumpa jamaa msaada wa kisuna😂😂😂😂
Mazindiko yote hufangwa kwa chalee mkuu.ukiona zindiko bila chale sio zindiko.zindiko lazima damu yako itokeNikitulia na kuhakikisha yameisha nitaleta ushuhuda. Hakuna kuchanjwa mkuu,mchawi ndo hupiga chale watu
Nasubiria wachawi wa jf waje kusema uchawi ni scam.Shalom wapendwa,
Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.
Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there. Ninamiliki maduka ya dawa za binadamu yaliyopo maeneo ya vijijini huko, kazi yangu hua ni kuzunguka na kutafuta watu wa kuuza tu na kufunga mahesabu mwisho wa mwezi.
Siku Moja kuna dada wa ADDO aliyekuwa akiuza moja kati ya maduka alipata dharura na kwakua nilikuwa na nafasi nilimruhusu aende nami nikaenda kumpokea kuuza dawa Ili clients wasikose huduma mpaka atakaporejea. Sasa hapo ndipo tatizo lilipoanzia.
Hiyo siku nimeamka vizuri kabisa nikashinda vema jioni imefika nikafunga hesabu na kulikua na pesa kwenye draw nilizibeba na kwenda nazo nyumbani kwa sababu za kiusalama, nikaacha kiasi kadhaa pia kwenye draw. Baada ya kufikia nyumbani nikaweka pesa vizuri nikawasha data niperuzi kidogo Kisha nikalala.
Naamka asubuhi nimelala nje😂😂😂 kwenye shimo Moja lilikua jirani na nyumba. Kitu kilichonishangaza nililala na boksa nikaamka nje nikiwa na nguo zangu nilizovaa jana😨
Kitendo cha kutaka kurudi ndani nakuta mlango umefungwa kwa ndani, nikawa najiuliza nilitokea wapi? Nikajaribu kupush mlango ukafunguka kuingia ndani nakuta panya sita kitandani wametulia wananiangalia tu😂😂😂 nikarusha kiatu wakapanda darini na kupotea ghafla kukawa kimya.
Impact za tukio lile, pesa nilizorudi nazo jana hakukua na hata kumi iliyokuepo😬 (zilipotea)
Sikuweza kukaa tena kule, nikafunga duka mpaka yule dada aliporudi kusongesa gurudumu. Kwa Sasa nikienda huwa silali kabisa hata iwe late kiasi gani nitarudi mjini.
Kama hujapita Njombe hujaona uchawi bado.
Acheni kuwa na majibu mepesi kulingana na upeo wa mawazo yenu kwa kila tatizo....kama ubongo wako umechakata ukaona haiwezekani haimanishi kuwa haiwezekani na ndio mwisho....yapo mengi hatuyajui na bahati mbaya sayansi haiwezi kugundua yote....kumbuka kuwa sayansi sio uvumbuzi/kugundua kipya, bali ni kuyaweka wazi yaliyojificha, yaliyopo lakini hatukuyajua.OK. Umemaliza? Una kisa kingine? Leta vitu jombii.
uhalisia ni kuwa hukuwa umeingia ndani. Ulilewa sana. Ukawa hujielewi ukawaza umeenda ndani hukwenda ndani. Na pesa ulizochukua Dukani kwako ukaendea Bar. Ukapiga sana maji. Ukarudi na Mang'amung'amu. Ukalala nje. Asubuhi kuamka ukaendelea kufikiria ulilazwa nje na wachawi. Kumbe mchawi wewe mwenyewe tu. Pombe siyo chai.
Sahihi mkuuAcheni kuwa na majibu mepesi kulingana na upeo wa mawazo yenu kwa kila tatizo....kama ubongo wako umechakata ukaona haiwezekani haimanishi kuwa haiwezekani na ndio mwisho....yapo mengi hatuyajui na bahati mbaya sayansi haiwezi kugundua yote....kumbuka kuwa sayansi sio uvumbuzi/kugundua kipya, bali ni kuyaweka wazi yaliyojificha, yaliyopo lakini hatukuyajua.
Mfano ...kugundua mchanganuo wa maji kuwa yana hydrogen na oxygen hakufanyi maji yawe kitu kipya...au copper kusafirisha umeme...umeme umekuwepo tangu ulimwengu unaanza kwa ufupi hakuna kipya ambacho sayansi imeleta zaidi ya maarifa mapya yaani taarifa mpya kwa mtumiaji wa kitu husika.
Huyo kigahula akikuletea shobo we niambie mkuuLeta msaada wa kisuna, nivae bomu kuwakomesha vigagula
Waambie hao ndugu zako waache ulevi wa kupindukia watafirwa siku moja.Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)
Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
First lady wa awamu ya .....Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)
Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Mbona umebwabwaja sana? Wewe sijakukataza kuamini unavyoamini mimi nimeeelezea ukweli. Nyie washirikina ni watu waoga sana. Na mnao fail sanaAcheni kuwa na majibu mepesi kulingana na upeo wa mawazo yenu kwa kila tatizo....kama ubongo wako umechakata ukaona haiwezekani haimanishi kuwa haiwezekani na ndio mwisho....yapo mengi hatuyajui na bahati mbaya sayansi haiwezi kugundua yote....kumbuka kuwa sayansi sio uvumbuzi/kugundua kipya, bali ni kuyaweka wazi yaliyojificha, yaliyopo lakini hatukuyajua.
Mfano ...kugundua mchanganuo wa maji kuwa yana hydrogen na oxygen hakufanyi maji yawe kitu kipya...au copper kusafirisha umeme...umeme umekuwepo tangu ulimwengu unaanza kwa ufupi hakuna kipya ambacho sayansi imeleta zaidi ya maarifa mapya yaani taarifa mpya kwa mtumiaji wa kitu husika.
Ukweli ni nini! Na umetumia kipimo gani kudhibitisha kweli yako! Unamuaminishaje kiziwi kuwa sauti ni kweli ipo au kipofu kuwa mwanga upo!?Mbona umebwabwaja sana? Wewe sijakukataza kuamini unavyoamini mimi nimeeelezea ukweli. Nyie washirikina ni watu waoga sana. Na mnao fail sana
Isije kuwa ni vijiji vya Mahaha,Shishani,Kabila n.k vya Wilayani Magu, Mwanza. Mwaka fulani pale kijijini wananchi waliua fisi kadhaa waliokuwa wanafanya matuko kwa wananchi na mifugo, cha ajabu fisi hao walikuwa wamevaa hirizi.Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....