Wangingombe, Kijiji ni malangali
Muulize Ally happi alichofanyiwa na wazee wa Iringa atakusimulia.Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)
Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Mkuu mbona Umenitag?
Kuna mtu alilazwa nje na wachawi..nikakumbuka yale mateso ya wale wachawi kule kwa Baba mdogo Mwalimu..hilo tu..pole kama nimekukwaza Mkuu.Mkuu mbona Umenitag?
Huko pia wako vema Kwa mitishamba . Nimekaa kidogo makete mjini isapulano bulongwa ujuni😃😃 na sehemu kadha wa kadhaHapo sawa ungetaja vijiji vya kwetu ningeshangaa kwasababu hakuna maduka ya dawa, watu wanategemea vituo vya afya zaidi kupata huduma.
Mimi nyumbani ni Kipagalo(Makete).
Unakujua malangali mkuu? Wilaya ya wangingombeWee uliwezaje VIP kwenda kwa wakinga mkuu Wala hukusema kuwa nyumba Ni ya Nani ulifikia je Ni nyumba ya mfanyakazi wako ama yako
Taja kijij ulivhokwenda mm naifahamu njombe yote
Mzee Hadi Ujuni kwenye baridi Kule?Huko pia wako vema Kwa mitishamba . Nimekaa kidogo makete mjini isapulano bulongwa ujuni[emoji2][emoji2] na sehemu kadha wa kadha
Njoo mtwara nikuzindike yasikupate na wewe[emoji38][emoji38]Haya mambo nadhani huwa yanaaminika kwa yaliempata tu, sie wasimuliwaji tunajua chai....
1: bro wangu alipangiwa kazi huko Mwanza wilaya ya Magu ndani ndani huko, amekaa kidogo sijui aliwakosea nini wanakijiji siku moja anasema kalala ndani fresh asubuhi kajikuta nje ilibidi ahame.
2: binamu yangu tukiwa msibani kijijini usiku kalala ndani kesho yake anasimulia alijikuta nje kalala pembeni ya kaburi (pale pale nyumbani kuna makaburi ya wanafamilia)
Tunaosimuliwa ni ngumu kuamini, labda na sie siku moja tulazwe nje.
Pole sana mkuu,walikuwa wanakujaribu kama una uzito au kinyoya tu [emoji38][emoji38]Hata Mimi sio mfuasi wa hizi mambo ila yalinikuta
Haya mambo yapo mkuu,kuna majanga nimepitia wiki mbili zilizopita yanastaajabisha sana [emoji2955][emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe Kuna mazindiko na mmekaa kimya
Wachawi ni wajinga sana mkuu wengine ni ndugu zetu wa karibu kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]Wakakuta ni kanyoya ka kuku tu