Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

Swali,
Unadhani ni kwanini ulifanyiwa hivo?
kwa sababu wana mambo yasiyo ya kiungwana ktk jamii huku kwetu walimkata shingo kabsa mkuu polee muwage na utu na nyie mda mwngne
 
Hii ni Chai

Napale ulikuwa sio wewe unaongea ilikuwa ni pombe na mpaka sasa unavyo andika umelewa
 
lazima kutakuwa na sababu, umeamua usiiseme kwa makusudi.

ukute uliwatea zile itikadi zenu za kikuda mnazowafanyia raia mitaani, ndio maana watoto wa kihuni wa "vingweta" wakakukalisha.

una bahati sana, vinginevyo wangekuuwa bwege wewe.
 


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Mbongo tangu lini unamuomba akuelekeze njia akakuuliza kazi unayofanya???.. At least ungeniambia wazulu ambao ukimuuliza akuelekeze mahali Kwa kiingereza anaweza kukuchunia na kukuona limbukeni wa lugha ya watu weupe
 
Typical reaction ya wananchi dhidi ya Hawa maharamia policcm.
Bahati yako Vingunguti sio eneo lenye wafuasi wengi wa Chadema.
 
Hapo kwenye kuulizwa mnafanya kazi gani ni uongo
 
Chai ya saa Saba mchana, du Asee imewekwa chumvi.
 
Ungepiga Risasi hewani
 
//mkiwa uswahilini hakikisheni mnaficha utambulisho wenu kwa ajili ya usalama wenu// ------------ mkuu, yaani hiyo ndiyo conclusion ya utafiti? Unadhani kweli walikupiga kwa sababu ya kufichua utambulisho? πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Askari walipoenda kwa Yohana wakamwuliza, Tufanyeje?
Aliwaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
 
Mkuu Kiranja kumbe wewe ni njagu !?
 
STORY FAKE KUTOKA UFIPA.

Chadema mnatumia nguvu nyimgi bila maarifa.
Hii stori ya uongo mtupu.lengo kuu ikiwa ni kuendeleza propaganda chafu dhidi ya jeshi letu la Polisi nchini.

Hivi katika zama hizi za magari ya mikopo kwa kada ya umma,hususan walimu na madaktari.
Katika hao madaktari wanne asingekosa mmoja wao mwenye usafiri binafsi.
Pia kwa kiwango cha daktari, haiwezekani akose hata usafiri wa kukodi kama uber nk.
Daktari achome nusu mbuzi ale ashibe halafu aanze kukatiza vichochoro kwa miguu??

Fake story hii,tafuteni Amsterdam wenu aje kumtetea Mbowe badala ya kushindia kwenye keyboards mkieneza chuki na UONGO.
 
Huo mtaa mbona wangehama na tungeipata habari kupitia tbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…