Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I know how you felt....! me niliwahi kumkanyaga juu ya mti kwenye mti uliotoboka nikiwa nakata kuni

Kilichofata nilijikuta niko chini na shoka ndio inanifata
Leo nimekutana na Cobra aisee yaanni inabidi nikae rada hili eneo kuna nyoka wengi sana.
 
Okay, you can start it sir. And I'll participate
Okay Sir
Nafikiri tungeigawa hii mada kwenye makundi manne ambayo ni :-
Introduction - Maana ya neno Soul/Nafsi
Main body - Tutaangalia aina za wanyama wenye soul / wanyama wasio kuwa na soul?
Conclusion - Tutafainalize na kucome out with answers?
Reference - Nafikiri hii ndiyo sehemu muhimu kuliko zote. Kwa maana sisi Waafrika hatuna hulka ya kuandika vitabu na kufanya utafiti wa vitu pamoja na mada mbalimbali. So inatuwia kuja vitu mbalimbali au tukivijua basi vinakuwa outdate. Kwa iyo nivyema tukawa respect wenzetu na reference mbalimbali hili kila mmoja kwa wakati wake azidi kusoma zaidi na zaidi.

But it's for my own perspective, if you have yours maybe it can sound good also mate.

Baada ya hayo napenda tena kukushukuru na kukupa pongezi pia kuwa wewe ndiyo number one fan wangu kwa Jukwaa hili la JF.
Mwenyezi Mungu mwingi wa hekima na baraka azidi kukuongoza na kukulinda hili kuweza kufikia hatma yako ya maisha yako ya kiroho pamoja na ya kimwili.

Almighty God bless you Pal'.
Keep it up never stop for what you're doing 🙏​
Much appreciation ✌️
 
Thanks so much for appreciation Sir!
Natumaini ukifungua mada hiyo nitahudhuria kwa uweza wangu wote.
I'm just nobody sir, just a guy! Siku ukinifahamu utakua very disappointed hutakaa uamini.
 
Subir hao nyoka wakue walete madhara makubwa kwa wanaokuzunguka ndy utaelewa,
Sina ujasiri wa kuua nyoka lakin huyo mdudu anafaa kuuawa
 
Thanks so much for appreciation Sir!
Natumaini ukifungua mada hiyo nitahudhuria kwa uweza wangu wote.
I'm just nobody sir, just a guy! Siku ukinifahamu utakua very disappointed hutakaa uamini.
Nafikiri ni vizuri mwendelezo wake ukaendelea humu humu sioni sababu za kufungua uzi mpya Pal'.

Tuanze na wewe mkuu kwenye Intro ya neno "Nafsi/Soul" kwako lina maana gani?

Karibu sana.
 

Laba wewe ni Buddha hutaki kuua viumbe
 
1. Soul - is the spiritual part of a human being or animal, regarded as immortal.
📝They believe death is just one step in a soul's journey through the universe.

2. Soul - Is the part of you (yaani wewe) ambayo imebeba your mind (akili), character (tabia), thoughts (mawazo) pamoja na feelings (Hisia)

Kwenye definition no.1 ya Soul unaweza ukaona kuna maneno mawili ya muhimu yaani Human Being pamoja na Animal. Hii inaonyesha kwamba human being pamoja na non-human being animals wote wana Nafsi/Soul.

Kwenye definition no.2 imerelate with your definition kwamba ni sehemu ya mwili iliyobeba taarifa zako za kiroho + kimwili ambapo ni sawa na vitu vinne mind, character, thoughts pamoja na feelings.
I'm done with intro Pal'🖐️

It's your turn again if you have any additional sir?

Reference
www.collinsdictionary.com
 
That's where you're wrong Sir (On the bolded red), Soul ni roho na Spirit ni nafsi.

Akili (Mind)Ipo ndani ya Soul. Soul ipo ndani ya Ubongo. It's a software part in the brain that can't be seen...But you can feel and see its Function/Role
Ni kama vile Nafsi/Spirit ipo ndani ya Moyo ila huwezi kuiona
 

 
Don't tell me I was wrong all those time😟
Worry out Pal'.
Ni kawaida sana sometimes uwa inatokea kutokana na maneno haya mawili kutumiwa mara nyingi kumaanisha jambo moja.

The same to this words Sir.
grace and bless.
worship and pray.

Much appreciation🙏
The love of God be upon you Sir.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…