Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Unamuokoa nyoka! Unaleta swaga za wazungu, ungejua hujui kugongwa na koboko!
Anakugonga dakika 25 hujapewa antivenom lazima ufe na sifa moja ya sumu ya Koboko viungo na misuli vyote vinatepeta na lazima unye kimba.
 
Unamuokoa nyoka! Unaleta swaga za wazungu, ungejua hujui kugongwa na koboko!
Anakugonga dakika 25 hujapewa antivenom lazima ufe na sifa moja ya sumu ya Koboko viungo na misuli vyote vinatepeta na lazima unye.
Koboko arusha mjini anatoka wapi Sir
 
Nini tofauti
Poison ni sumu inayo fanya kazi kwa kugusa ngozi ya mwili, kumeza,kuvuta hewa na kumeza.Na Venom ni sumu inayo fanya kazi iki kutana na dam kwa njia ya kung’atwa au kuchomwa, pia venom unaweza ukailamba na kuimeza au kuishika na isilete madhara ikiwa hauna vidonda au michubuko.
 
Poison ni sumu inayo fanya kazi kwa kugusa ngozi ya mwili, kumeza,kuvuta hewa na kumeza.Na Venom ni sumu inayo fanya kazi iki kutana na dam kwa njia ya kung’atwa au kuchomwa, pia venom unaweza ukailamba na kuimeza au kuishika na isilete madhara ikiwa hauna vidonda au michubuko.
Asante kwa kunikumbusha sekondari
 
Alafu nyoka huwa ni waungwana sana kuliko hata siafu wanaong'ata bila sababu, asilimia kubwa ya nyoka wengi huwa hawana sumu ndo maana nyoka ni mzee wa kutoka nduki akiwa eneo analoweza kukimbia!
Point yako iweke hivi... Asilimia kubwa ya nyoka wa Afrika hawana sumu sana. Ndio maana tunaamini blackstone inaondoa sumu
 
Point yako iweke hivi... Asilimia kubwa ya nyoka wa Afrika hawana sumu sana. Ndio maana tunaamini blackstone inaondoa sumu
[emoji16][emoji16][emoji16] sio kwamba point yako nawewe inatakiwa uiweke hivi, Nyoka wengi wanaoishi katika mazingira ya majumbani au wanaoishi karibu na binadamu hawana sumu ya kuweza kudhuru wanyama wakubwa kama binadamu nk

Nyoka wenye sumu waga wana tabia ya kuhama kadri watu wanavyosogea, nyoka wenye sumu waga hawataki kabisa mazoea na binadamu maana huofia sana usalama wao

ila nyoka wasio na sumu nawao huogopa sana kuambatana na nyoka wenye sumu maana hugeuzwa kuwa vitoweo, hivo huona ni bora wabakie katika mazingira ya watu ili waambulie Panya na wadudu wengine wengine ndomana sehemu zenye Panya wengi kukuta nyoka ndani ya nyumba kawaida sana

nyoka wenye sumu Kali na wabishi kuhama ni kama vile koboko, huyu hataki kuhama katika mazingira ya watu Kwa sababu hupenda sana Bangi na tumbaku kwahiyo akienda huko ndichi ni ngumu kupata vitu vyake vya kupatia stimu

Na nyoka mwingine ambae ni ngumu kuhama mazingira yenye watu ni Kifutu, huyu kwakuwa ni mvivu na mpole waga anahisi kama vile yeye sio hatari kwa binadamu ndomana hubaki na kuishi kwa kuamini kutokana na tabia zake basi atakuwa msela Kwa binadamu

ila ukweli ni kwamba huyu ndio nyoka ambae ni muhanga wa kwanza kwa binadamu maana ni rahisi sana kumuuwa pamoja na sumu yake kuwa hatari, unaweza kumkanyaga alafu yeye akawa anahangaika kujitoa badala ya kushambulia ila akiuma ndo utajua hujui
 
Wewe ukishajua kuwa eneo ilo kuna nyoka ndiyo chanzo cha mwili wako ku-react kama jamaa alivyoeleza hapo juu reaction yako ni red flag kwa nyoka,itajua ni hatari imemkabili, itaanza kujihami dhidi yako. Popote unapomuona nyoka tambua kwamba nyoka imejua uwepo wako eneo ilo kabla yako kuiona.. Hii ni kwasababu:- nyoka wanauwezo kujua aina ya kitu kilichopo umbali zaidi ya mita 100 kwa kusensi si kuona.so, unapomuona nyoka ujue yeye kashajua uwepo wako hapo muda mrefu tu.
Kwa maana nyingine akishagundua umemuona pamoja na kwamba anaweza kukuletea madhara ila kwa upande mwingine kama ukimpotezea na yeye anaweza akabadilisha makazi kwa kukuhofia (au ataendelea kuishi tu maeneo hayo?)
 
Back
Top Bottom