Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Duu! Fafanua kdg
Wewe ukishajua kuwa eneo ilo kuna nyoka ndiyo chanzo cha mwili wako ku-react kama jamaa alivyoeleza hapo juu reaction yako ni red flag kwa nyoka,itajua ni hatari imemkabili, itaanza kujihami dhidi yako. Popote unapomuona nyoka tambua kwamba nyoka imejua uwepo wako eneo ilo kabla yako kuiona.. Hii ni kwasababu:- nyoka wanauwezo kujua aina ya kitu kilichopo umbali zaidi ya mita 100 kwa kusensi si kuona.so, unapomuona nyoka ujue yeye kashajua uwepo wako hapo muda mrefu tu.
 
[emoji122]
 
Kabisa mkuu ndio maana hutembea wanatoa ulimi nje
 
huu uzi una madini kwelikweli[emoji4]

je ndege kama KASUKU, na wadudu kama vile NYUKI wao hutumia tezi hiyo kutambua hatari? (nasikia kasuku anauwezo wa kujua yaliyo nje/yajayo..)

nimefuga nyuki sana lakini kumuona malkia ni mara chache sana! Inasemekana kwamba ana machale[emoji3]
sayansi inasemaje?

cc. Criston Cole, Anigrain, let the caged bird sings
 
Mkuu sio wa mchongo hata kidogo, kuna nyoka aliuawa wiki 2 zilizopita dodoma nikishuhudia kwa macho yangu nami ilibidi nishirikiane kumuua alikua ni mrefu kama futi 5.6 hala mnene kama mkono wangu alikua Cobra. Aisee alivyokua akipanua shingo na kurusha mate utadhani kabisa wale wa kwenye tv. Ila aliuawa.

Maneo ya kanda ya kati hasa Tabora na singida kuna nyoka wengi sana sana. Singida wamejaa Cobra watupu kama wale wa kihindi na Tabora ni Koboko tu. Nyoka wa tabora wanakula hadi vitumbua, wanakula tui la nazi, wanakula ubwabwa nk nk😅
😂😂😂😂😂Matobolwa je?
 
😂😂😂😂😂Matobolwa je?
Wanakula hadi miwa mimi naona wangewatoa wanyamwezi wote tabora halafu tabora iwe snake park tu. Yaani hadi kikosi kazi cha kupambana na koboko toka JWTZ kiliundwa kikashindwa
 
Nyoka ni shetani afadhaliki umuona mwanadamu ni adui. Si umeona ulitaka kumsaidia akataka kukugonga
 
Nini tofauti
Poison ni sumu ambayo huingia mwilini kwa kumeza,kuvuta kwa mapua au kwa kupitia matundu ya ngozi.

Venom ni sumu ambayo huingia mwilini kwa mfumo wa injection mfano kobra/koboko hutumia meno yake na nge/nyuki hutumia mwiba wake

Kwa mantiki hiyo kwakua Venom huingia mwilini kwa mfumo wa injection tu basi kama ukichukua sumu ya nyoka ukainywa haitakudhuru kabisa!
 
So nini first aid ukiwa mbali na hospital angalau upate nguvu ya kufika hospital.
 
huu uzi una madini kwelikweli[emoji4]

je ndege kama KASUKU, na wadudu kama vile NYUKI wao hutumia tezi hiyo kutambua hatari? (nasikia kasuku anauwezo wa kujua yaliyo nje/yajayo..)

nimefuga nyuki sana lakini kumuona malkia ni mara chache sana! Inasemekana kwamba ana machale[emoji3]
sayansi inasemaje?

cc. Criston Cole, Anigrain, let the caged bird sings
Kusema ukweli sina elimu ya upande huo labda wajuzi watujuze. Ila hata mimi sijawahi kumuona malkia wa nyuki kabisa I doubt kama kila sehemu yenye nyuki kuna malkia maana kuna siku nyuki walikuja wakavamia duka moja wakajazana humo tukafunga milango usiku tukachoma majani humo dukani nyuki wote walikufa ila Malkia hatukumuona
 
inasemekana malkia huondoka mapema sana! na hao nyuki hufuata nyayo zake, ktk safari yao wakichoka hupumzika kwa kurundikana sehemu kisha safari inaendelea
 
Back
Top Bottom