Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Hivi nyoka anafaida ipi katika mazingira?? Na wanyama mwengine?
 
Hivi nyoka anafaida ipi katika mazingira?? Na wanyama mwengine?
Nyoka anaplay role kubwa sana katika mazingira kwa kucontribute health ecosystem na kuwezesha kuwepo kwa balance of nature.

Everything when exceed a certain level (superfluous) become harmful.
Nyoka anasaidia sana kumantain idadi ya frog pamoja rodents kwa kuact kama Rodent and frog exterminator.

✍️ Rodents - (wanyama wenye asili ya panya).
 
Ni bandiko zuri, hata mimi niliwahi kusikia kuhusu hilo.
Ukiingiwa na woga basi joka linakukudonoa japo sikujuaga mechanism yake.

Huyo ni nyoka vipi kwa wanayama/wadudu wengine??
 
Je nini kitapungua au kutokea/kuathirika kwa mwanadamu ikiwa nyoka wote watatoweka(Extinct)?
 
Je nini kitapungua au kutokea/kuathirika kwa mwanadamu ikiwa nyoka wote watatoweka(Extinct)?
Obvious, Ecological imbalance/Distortion, hapo kuna vitu viwili muhimu predators na preys.

✍️Tutegemee kuwa na high numbers of preys (Rodent + Frog) ambao wataleta madhara na uharibifu mkubwa katika mazingira. Kwa mfano uharibifu wa mazao ya chakula.
✍️Tutegemee extinction kwa baadhi ya predators ambao chakula chao kikubwa ni nyoka.
✍️ Kupungua kwa flow of nutrients + energy kutoka trophic level moja kwenda kwenye trophic level nyingine. Kutokana na kutoweka kwa nyoka katika mzunguko mzima wa ecosystem ambayo imebeba food web + food chain.

Kila kiumbe kina thamani kwenye mazingira kiwe kidogo au kikubwa, chembamba au kipana, kirefu au kifupi usikidharau kwa maana Kila kiumbe kina play role yake katika nature. Ni haki yetu kukitunza kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.​
 
It's okay wakipungua. Kama nyoka ana umuhimu sana basi asingeumbwa na sumu kali ambayo ni hatari kwa mwanadamu.
Bado naona ni nadharia zaidi yaani katika viumbe wote waliopo ukimtoa nyoka basi maisha ya mwanadamu yatayumba. Mbona Dinosaurs ambao ni most predators walipotoweka hakuna kilichopungua kwenye maisha ya mwanadamu.
Hebu nieleze ni athari zipi mwanadamu alizipata baada ya dinosaur kutoweka
Paula Paul I might need and use your thoughts on this!
 
Ni bandiko zuri, hata mimi niliwahi kusikia kuhusu hilo.
Ukiingiwa na woga basi joka linakukudonoa japo sikujuaga mechanism yake.

Huyo ni nyoka vipi kwa wanayama/wadudu wengine??
Binafsi kwa wanyama wengine sijafuatilia labda wataalam wengine watuambie. Sidhani kama simba ana uwezo huo maana hua ana aibu ukimkazi macho bila kuogopa anakuacha. Ila nyati na Koboko hawa viumbe ni wakorofi sana hua hawasubiri nini wao wanaanzisha tu ugomvi.
 
Mimi sina huruma na nyoka. Nikimuona kama naweza namuua mara moja.
Ukiwaelewa nyoka hua wanang' ta kujilinda tu na mara nyingi kujihami wanaepa na kukimbia. Sumu yao ni kwa kuwindia riziki.
Ila ni dudu xinatisha sana wakiwepo kwenye mazingira wanaishi watu. Inaweza kutokea ajali umkanyage hakika atakung'ta.
Kwa hivyo akionekana mazingira ya binadamu ni kimbonda kichwa hadi afe.
 
It's okay wakipungua. Kama nyoka ana umuhimu sana basi asingeumbwa na sumu kali ambayo ni hatari kwa mwanadamu.
The answer is very clear mate.
Lazima tuelewe kwamba kila kiumbe kina defensive mechanism yake ambayo inamsaidia kupambana na maadui zake.

Ntatoa mfano mmoja hili twende sawa Pal'.
✍️ Kinyonga (Chameleon) - utumia camouflage technique ya ngozi yake kwenye kujilinda dhidi ya maadui zake na kuescape harsh environment. Lakini pia through camouflage umuwezesha Kinyonga kujipatia chakula chake kwa urahisi.

Pia kwa nyoka ni hivyo hivyo utumia sumu yake kwa vitu viwili moja kujilinda dhidi ya maadui zake na pili kujipatia chakula chake.
That it's Pal'.​
 
I concur with your concerns Sir.
I'm still pondering myself and I'll need your clarification on prior Qn.

Mwanadamu alipata madhara/hasara gani katika maisha yake baada ya Dinosaur kutoweka??
 
Bado naona ni nadharia zaidi yaani katika viumbe wote waliopo ukimtoa nyoka basi maisha ya mwanadamu yatayumba.
Sio nadharia huo ndiyo ukweli mkuu.
Nafikiri wewe ni shuhuda namba moja wa documentary ya snake in the city inayooneshwa National Geographic. Kwamba nyoka wanaingia katika makazi ya watu wakifata haswa panya pamoja na other preys kwa ajili ya chakula.

Mshikaji na demu wake kazi yao nikuwakamata nyoka hao na kuwarudisha katika mazingira yao asilia. Huku wakicharge fees ya ukamataji (but i don't remember is how much Rand?) pamoja na kuchukua documentary ya tukio zima kwa ajili ya kuiuza National Geographic.​
 
Hivi ni yupi aliyeliwa na nyoka akafariki akamwachia mwanae kazi??
Au namchanganya na Incredible Dr. Pol
 
Unafaa sana kuandaa documentary ya snake city pale Nat Geo wild
Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.
Kama carter snake wanavyotisha sijui wana mapembe wale
 
Kama ni kazi ya kufanyia nyuma ya keyboard sawa naweza ila kama ni kwenda field kabisa kwenye manyoka hapana. Naogopa ule muonekano wao aisee. Haya yakiwa makubwa.
Kama carter snake wanavyotisha sijui wana mapembe wale
Kuna taipan snake😱😱
 
I concur with your concerns Sir.
I'm still pondering myself and I'll need your clarification on prior Qn.

Mwanadamu alipata madhara/hasara gani katika maisha yake baada ya Dinosaur kutoweka??
Ukweli ni kwamba mwanadamu hakupata hasara yoyote au madhara yoyote kabla na baada ya kutoweka kwa Dinosaur.
Kwa sababu kulikuwa hakuna dalili ya uwepo au kuja kuwepo kwa kiumbe kiitwacho Mwanadamu (Human Being).


Extinction of Dinosaur imetokea miaka million 66 iliyopita huku ikisababishwa na kudondaka kwa large asteroid ijulikanayo kwa jina la K-T Meteor.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…