Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
wenye kuelewa tumeelewa, achana naoSo it simply badiko langu zima sijaeleweka right???
Hua hutazami National Geographic Chanel 182 dstv??
Kuna kile kipindi kinaitwa Snake city
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye kuelewa tumeelewa, achana naoSo it simply badiko langu zima sijaeleweka right???
Hua hutazami National Geographic Chanel 182 dstv??
Kuna kile kipindi kinaitwa Snake city
nakuunga mikono yote!Unaweza ishi na Koboko(hata nyoka wengine pia) zaidi ya Miaka 100 asikudhuru ila sharti ni moja tu" nyoka ndiye ajue uwepo wa binadamu eneo ilo ila si binadamu ndiye ajue kuna nyoka eneo ilo".. Hii ni kwa uzoefu binafsi na kusoma maandishi kama haya.
TunachokijuaSummary?
Uzungu utawamaliza, kusoma tu basi la njano na kupaka bleach mnajikuta wazunguMi mwenyewe hua siwezi kuwaua. Hua nawaacha wanaenda zao kikubwa nahakikisha wanaenda maaeneo ambayo hawawezi kukutana na watu. Kuna mmoja alidumbukia kwenye shimo flani jamaa alikuwa anachimba septic tank nikamuona anahangaika kutoka nilichofanya nilitafuta miti nikatengeneza kama ngazi nikaweka mule akapanda akatoka sema akanichenjia nikakimbia
Sir, usijidaie hiyo hali hata kidogo ndio maana nimesema nina sababu zangu ambazo siwezi kuzisema coz zaweza kubadirisha dhima ya uzi hapa. Si unaona juu kabisa nimeambiwa nina matatizo ya akiliMkuu binafsi Nina roho ya huruma kwa kiumbe chochote kasoro nzi,mbu,na mende.hata huyo nyoka simgusi kama hatakua na time na mim
We all deserve this planet frola and faunas🤗Mi mwenyewe hua siwezi kuwaua. Hua nawaacha wanaenda zao kikubwa nahakikisha wanaenda maaeneo ambayo hawawezi kukutana na watu. Kuna mmoja alidumbukia kwenye shimo flani jamaa alikuwa anachimba septic tank nikamuona anahangaika kutoka nilichofanya nilitafuta miti nikatengeneza kama ngazi nikaweka mule akapanda akatoka sema akanichenjia nikakimbia
Kabisa na yoka anaweza kuingia mmoja hadi akatengeneza ukoo hapo ilimradi tu msimuone. Hua haa shida kabisaUnaweza ishi na Koboko(hata nyoka wengine pia) zaidi ya Miaka 100 asikudhuru ila sharti ni moja tu" nyoka ndiye ajue uwepo wa binadamu eneo ilo ila si binadamu ndiye ajue kuna nyoka eneo ilo".. Hii ni kwa uzoefu binafsi na kusoma maandishi kama haya.
akitujuza kuhusu mbwa itakuwa vema sana, maana mbwa nae mara nyingi mkikutanisha macho lazima afanye kitu[emoji16] ila ukijfanya hujamuona hakuna tatizoHujakosea hata kidogo mkuu. Na nakupa kongole kwakuelewa na kuitendea haki somo linalohusiana na GLANDS. Je mbwa nae huwa huwa anainusa Jackobson gland? Na je kuna uwezekano ukakiona kiumbe hatari alafu ukaicontrol adrenaline?
akitujuza kuhusu mbwa itakuwa vema sana, maana mbwa nae mara nyingi mkikutanisha macho lazima afanye kitu[emoji16] ila ukijfanya hujamuona hakuna tatizo
Ndio mkuu mbwa na paka wanayo Jacobson hata baadhi ya binaadamu pia wanayo. Mbwa mara nyingi hutegemea mapua yake zaidi kama Sense organ yake ya smell lakini pia kuna wakati pia hua anaitumia jacobson katika kugundua Adrenaline ya mtu/adui.Hujakosea hata kidogo mkuu. Na nakupa kongole kwakuelewa na kuitendea haki somo linalohusiana na GLANDS. Je mbwa nae huwa huwa anainusa Jackobson gland? Na je kuna uwezekano ukakiona kiumbe hatari alafu ukaicontrol adrenaline?
Umenikumbusha kampuni ya Yahoo walijua kabisa watu hua hawasomi terms and Rules za mitandaoni hua wanakimbilia kubonyeza I agree bila kusoma chochote sasa kuna kipindi katika yale maelezo marefu ya terms and rules waliweka namba na maelezo kwamba mtu aliyesoma hadi mwisho apige hizo namba atapata kiasi fulai cha pesa.... Imagine ni mtu mmoja tu alipata hiyo pesa.Watu hawapendi vitu vigumu, uzi wa kula tunda kimasihara ni mlaini.
Wapi nimejikuta mzunguUzungu utawamaliza, kusoma tu basi la njano na kupaka bleach mnajikuta wazungu