Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Wanaangalia innovation,social impact na business model

Okay hapo sasa umenipa mwangaza
Niseme tu nipo kwenye stage ambayo nina ideas ambazo ni innovative na zinazoweza leta impact kwenye jamii ila tu nilikuwa sijui jinsi ya kuwapata hawa donars aise. If I ever knew hii kitu mapema huenda sasahiv tungeongea diff story I'm sure
 
Keep going,
Keep pushing
Inawezekana ila Anza kwa kuomba ndogo ndogo Ili uweze ku master kwenye pitching pia make sure finances zipo vizuri,make sure una record Kila kitu
Juzi Kuna application nimeomba nimedaiwa signed documents za miaka ya nyuma huko kama invoices na risiti za miaka ya nyuma Yote hii ni kutaka kujiridhisha umri wa biashara




Unaweza kuanza na hiyo ni kutoka Crdb Foundation (Imbeju) wame partner na starthub Africa wanatoa UpTo 30m no riba na grace period ya 3 month
A friend amepata hiyo last month
 
Niseme tu nipo kwenye stage ambayo nina ideas ambazo ni innovative na zinazoweza leta impact kwenye jamii ila tu nilikuwa sijui jinsi ya kuwapata hawa donars aise. If I ever knew hii kitu mapema huenda sasahiv tungeongea diff story I'm sure
Ni WA chache sana wanao fund idea kwa Africa ni TEF pekee kiufupi bongo hakuna Angel investor wote ni ma devil tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye hizo idea pambana na moja wapo angalau utengeeze MVP
 
Ulichosema hapa ni kweli 100% Na hii hutokea haswa kwa nchi hii ya Tanzania,,,kwa wenzetu nchi nyingine za kiafrika naamin wanajua namna ya kumuapproach mtu kwa wema ili waokote elimu, ila sio bongo, bongo hii ya uchawi Husda rohombaya nyege,, wanataka tu Kuja kuangalia unafanya biashara Gani ili na wao wakopi na kupesti ama watafute namna wakudondoshe, hii ndio bongo ...ni 1% tu wenye wema wanaotaka kweli kujifunza au hata kukusapot biashara yako ..

NB: Jane hongera sana nimefurahi wewe kuendelea kufanikiwa Hadi Sasa uko hapo, nakufahamu tangu biashara ya kuuza chupi , na ulishawahi kuja kuniuzia chupi za kike nilikua namnunulia mtu zawadi πŸ˜‚πŸ˜‚ usiniulize nmekujuaje but nakujua nimefurahi umepambana na ndoto yako uliyoniambiaga pale posta tulipokutana imefanikiwa. Ulikua determined sana kufanikiwa. Be blessed
 
Ni WA chache sana wanao fund idea kwa Africa ni TEF pekee kiufupi bongo hakuna Angel investor wote ni ma devil tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye hizo idea pambana na moja wapo angalau utengeeze MVP
OK
 
Umetisha sanaaa

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sijui ni wapi nilisema exactly nataka kujifunza production!!
Formula ni kama sehemu za siri, FICHA UCHI WAKO
 
Hongera,,Hivi tuliowahi kuwa sales and marketing,tunaweza kujua tukitumia uzoefu wetu?
 
Nimelipenda jibu lako. Watu hawajui jinsi ya kuomba
 
Aysee Dunia ndogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli nishawahigi uza chupi doh nimeishiwa maneno
Nashukuru sana mteja wangu karibu mafuta sasa na sabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…