Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

Mwanamke mwenye hizi sifa, bidii ya kazi, heshima, mpole, mwaminifu na asiye na makuu, anakubalika na kila Mwanaume, Sio sura,umbo na mwonekano, Ila hizi sifa bidii ya kazi, heshima, mpole, mwaminifu na asiye na makuu ni ngumu sana kuzipata kwa sasa.
Ugumu upo kama ukitafuta mwenyewe bila kumshirikisha Mungu. Inawezekana kabisa
 
Mkuu asante kwa ushuhuda, maana naamini tunamshinda sheteni kwa shuhuda za maneno yetu.pia naamini kwa ujumbe huu kuna mtu atatoka alipo kwama.

Sifa na utukufu, uweza na nguvu vyote vina yeye alie kupa mke mwema, usiache kutoa sadaka ya shukurani kwa ajili ya mkeo.

Amen

Yes bro!! Nimeandika sio kwania ya kupewa sifa kwa kupata mke mwema...

Nimeandika dhumuni kubwa ikiwa kusaidia watu wengine ambao wako kwenye mkwamo kama ulivyosema. Mara nyingi sana watu wanajua nani anafaa kuwa mke mwema ila mara nyingi wenye sifa hizo tunawakataa pengine kwasababu ya elimu, uchumi, family background au mionekano ya nje. Hivi ni vitu ambavyo kwenye ndoa havi saidii, ambao wako kwenye ndoa wananielewa

Kuingia kwenye ndoa na mbwembwe nyingi na kupendana asilimia 100% sio guarantee ya upendo na kudumu kwa ndoa
 
Hajaeleza wamefanana nini? Umbo au sura au mkuu kafanana vyote na mke wake yaani Umbo na sura
Mleta mada kasema mwenyewe anamshukuru Mungu kwa kumpa wa kufanana nae, na mm nimepita humohumo nimempongeza kwa kupewa wa kufanana nae.
Sijajua wamefanana nini mkuu
 
Back
Top Bottom