Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

Kwahiyo yule kaka niliemuota nimwambie ukweli? Nianzeje sasa?

Au ndoto za walokole ni tofauti na za kwetu?
 
Hivyo hiyo mikesha mmegeuza jamvi lakutongozana na sio kusali?
 
Bila kusahau kuzingatia majira. Kila jambo lina wakati wake. Usilazimishe kama Mungu hajajibu

Pia njia za Mungu kusema na wanadamu ni nyingi. Anaweza kusema na wewe kupitia watu, ndoto au namna yoyote anayo ona kuwa ujumbe utakufikia.

Namna ya kukutana na mwezi wako inatokea tu automatically, nguvu yoyote haitakiwi kutumika. Zaidi amini ya Kristo iamue ndani yako
 
Inawezekana sana tu,kwa mwanadamu unaona sio rahisi ila kwa Mungu inawezekana.Mungu anafanya vitu kwa watoto wake,Huwezi kumtumikia Mungu afu akakuacha uhaibike.Swala gumu ni kuwa binadamu kusikia sauti ya Mungu na kukubaliana na lile swala.
Mungu anatuwazia mema siku zote. Macho yetu wanadamu huona pafupi sana.

Akili zetu zinaweza kuchambua sana ila kuona huyo unae mchagua mbeleni atakuaje ni mtihani usio na majibu. Tumwachie Mungu na kuamini anavyo tupatia hatakama haviko kama tutakavyo
 
Ulikuta Sildi?
 
Mkuu huyo ndio mkeo hiyo ndoto usiipuuze .ndoto yako inafafanana na yangu . januari mwaka huu nimeoa mwanamke nilioteshwa ndotoni mambo yangu mengi yapo vizuri kabla ya hapo nilikuwa hivyo kabisa .mungu amekuotesha hiyo ndoto kwa makusudi ukidharau imekula kwako .

nb.huyo ndio mkeo.usimwache utanishukuru ushauri wangu
 
Amen
 
Mwanamke mwenye hizi sifa, bidii ya kazi, heshima, mpole, mwaminifu na asiye na makuu, anakubalika na kila Mwanaume, Sio sura,umbo na mwonekano, Ila hizi sifa bidii ya kazi, heshima, mpole, mwaminifu na asiye na makuu ni ngumu sana kuzipata kwa sasa.
Nipooo apa😁
 
Waliooa kwa kuangalia tako watakuja na kukubeza wapunguze machungu ya ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…