Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

Mm nilitaka kula hasra ya kununua milion 5 aisee balaha hilo
 
Ni utapeli tu hkn kitu
 
Kumbe
Acha uongo

Mwaka 2011 TZ hatukua na access ya crypto exchanges.

Hapakua na Binance, Localbitcoin wala Coinbase.

Hapakua na access yoyote kuweza kununua cryptos.
Kumbe mko wataalamu humu
 
We ar not predict future no we creat it maisha yako yapo hardwired kuish past and present. Ila wenzio wenye akili timamu wanaish kwenye future elon musk anakuambia kunauwezekano wa kuihi sehmu ingine ya dunia we unakataa ila yeye amesha create future anachofanya ni kufanyia kazi , we hujui siku yako ya kufa maana you didn't create it ila kwa mtu alie serious atacreate kwamba mi kesho saa sita nitajitoa uhai nitakuwanya hii pure poison na bila hesitation ikifika uo muda unatekeleza
 
Ni kweli kbsaa aisee ni upumbavu kununua hisa na blaa blaa zingine wakt biashra za kufanya zipo nyingi
 
Hisa za TBL gani ambazo rafiki yako anakosa mteja? Watu Juzi tu tumekula gawio la maana la TBL. Kama rafiki yako bado anatafuta mteja wa hisa zake za TBL naomba uniunganishe nae tufanye biashara.
 
Hi ndio biashara siwez kudhubutu iko kitapeli Sana nayo Bora sijafanya
Ndio ubaki na umasikini wako sasa.

Ww nenda kalime achana na mambo ya hisa na fluctuations zake.

Manake ukienda kulima kiazi kikikomaa unakiona kwa macho unachuma

Unakwenda kumuuzia Mwakipesile unapata hela
 
Kwa hiyo kauli,umedhihirisha kuwa haukuwa na hadi sasa hauna elimu ya kutosha juu ya hisa....
 
Mtu wa treasury na Market...
  • Ulishindwaje kusoma financial statements za kampuni husika,kanakwamba umesema hisa zilishuka bila taarifa...Financial indicators haukuziona
  • Unawekezaje kwenye kampuni ambayo inaenda fanya exploration ya mafuta tena kwenye ambayo hayajawahi kugunduliwa.
  • Unawekaje all that amount kwa hisa zako za kwanza.Tena hisa za IPO...ina maana haujui hata sifa za hisa za IPO 🤔
 
Wewe umekazania kununua na kuuza...
Kama ungepitia taarifa za kampuni zote kuwa...kuna kampuni hisa zao ni nzuri kwa
  • Kununua na kuuza
  • Kupata dividends
  • Kutumika kama collateral kwenye mikopo...
Mi binafsi ni mwanataaluma ya Uhandisi,ila nilitenga miezi 6 ya kujifunza financial markets na kufuatilia Masoko ya hisa ya Nairobi,Joberg,NYSE and DSE.

Kwenye uwekezaji wowote,hauitaji pupa, tumia mda wa kutosha kujifunza.
 
Bro kama una hela yako usijidanganye ukanunua hisa hapa bongo Sehem ambayo siasa ndio zinaamua uchumi. Nunua hisa Sehem ambayo nguvu ya soko ndio yenye maamuz ya mwisho. Bora hapo kenya mara 1000. Hapa bongo anatoka raisi huyu anaingia mwingine anafanya vitu utafikir ndio nchi imepata Uhuru Mzee usijar utamlaan kila mtu. Lakin ukweli ni kwamba uchumi unaongozwa na nguvu ya soko na sio siasa. Ukijua hilo utaachana na haya majamaa ya nambari one. Ni bora ununue ardhi. Kipind cha jiwe mpaka hisa za TBL zilishuka yaan mpaka walevi waliokoka.
 
Yaani story yako inakwenda sawa na sisi wazee wa betting namna tunavyoigumia cashout,umeweka 10k,huna hili wala lile unakagua mkeka unakuta 23k inahema😁😁,kitendo chakujipa ujasiri tu kwamba wacha niiache,kwisha habari yako,inagray mpaka gori linarudishwa mpira unaisha mkeka umechanika🤨🤨
 
You're giving an example in our society which is outlier statistically. Toa mfano wa normal,ukiongea let say investment sio lazima umuongee warren Buffett,why don't you talk which is mean.
Let us have research.
So umesha create future yako Kama huyo jamaa ,Mana akili yako Iko fixed and hooked by only one example which is outlier.

So na wewe utakufa lini Mana inaonekana una role model mzuri atakuwa ameshaku magnetize.
 
Acha uongo

Mwaka 2011 TZ hatukua na access ya crypto exchanges.

Hapakua na Binance, Localbitcoin wala Coinbase.

Hapakua na access yoyote kuweza kununua cryptos.
Unajua mwaka 2011 , tuchukue tu tarehe 6 mwezi wa tano Hadi wa Saba tarehe 22 nilikuwa wapi 😀😀?? Ili tujue huu uongo unaosema niuache, my guess umefanya assumption kuwa ulipokuwa wewe (likely within TZ borders) is where everybody else was. Anyway, sawa amini kile unachoamini mdau, sikupingi 😀😀
 
Sahih kbsaaaa jamaa haweleweki kbsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…