Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

Sahih mkuu nilifanya kosa Hilo Bora ningenuni za nmb by then ilikuwa inafanya vzr sokoni na market share zake iliongezeka
 
Kwa kweli nikifanya pupa ndio maan jimepata hasara
 
Mkuu pole sana.Hakuna Utapeli kwenye Soko la Hisa ila ni Risk Investment.Kama hao swal energy ni matapeli lazima ujiulize walifikaje kwenye SOKO la HISA?All in ALL Pole sana Je Hisa zako bado unazo?Unaifuatilia Swala energy na mwenendo wake kibiashara?
 
Naona ile 2m yake ilikuwa haina kazi kwa wakati ule …… ama kweli ikiwa elimu ni garama ujinga ndo garama mara mbili
 
Tafuta mafundisho ya Sir Emillian Busara utajua tatzo lilikuwa ni nini😁😁😁😁
Pole sana mkuu.
 
Nilinunuaga crdb his a 3150 kea ah.450 kila moja ,alipoingua Jiwe zikashuka hadi ah.100 baadaye zilipanda ,nikaziuza 250 sh.Kutika 1,400,000 niliambulia 800000
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna utapeli mkuu swala ni kuwa hukuwa na taarifa sahihi.angalia hiyo video hapo jamaa akieleza namna ya kununua hisa katika IPO
 
NMB nashukuru kila Juni ya mwaka huwa napokea Gawio la 640,000,nawaza sijui niongezee au niuze tu Hisa zangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…