Jinsi Nilivyotapeliwa Kijinga Sana, Nimejifunza

Mbona husemi maelekezo aliyokupa?
Ilikuwa ni haraharaka sana, yalikuwa ni maelekezo ya kubonyeza namba tu. Kitu ambacho niliiweka kwa akili yangu ni password tu baada ya kuniambia niweke. Ndipo nikapokea meseji ya kuhamisha pesa na kupigwa na butwaa.
 
Tangu lini watu wa benki wakahitaji password yako tena kwa kupiga simu wewe jamaa umetapeliwa kizembe sana , inaonekana unauzoefu mdogo sana na mambo ya benki anyway ni kheri umejifunza .
 
Utakuwa umetapeliwa kirahisi sana. Au ndo tea bila sugar.
 
Kutapeliwa kunauma jmn, mimi kuna siku kidogo nitapeliwe na mtu alikuwa kavaa pete akisema yeye ni mtabiri.Akaniambia kuna watu wanakuloga mara hivi mara vile,mwisho akaniambia niende nyumbani nikamletee hela za mama yaani alikuwa kila analoongea namsikiliza kumbe alikuw anatumia uchawi😂😂😂
 
Tangu lini watu wa benki wakahitaji password yako tena kwa kupiga simu wewe jamaa umetapeliwa kizembe sana , inaonekana unauzoefu mdogo sana na mambo ya benki anyway ni kheri umejifunza .
Kwa kweli ni uzembe mno, mpaka naogopa kuwaelezea watu watanishangaa
 
Pole

Namimi leo nmekosea kufanya muamala nmetuma kwa mtu mwingine 450,000/= tshs.

nmejaribu kuipiga iyo namba zaidi ya 50x lakini haipokelewi mpaka sasa.

saiv nipo kulewa
Kwann usngepga huduma kwa mteja ukazuia muamala au kwenye apps ukafanya reverse mbona mnafanya maisha kua magumu nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…