TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #121
Ujinga mbaya sanaUongo mtupu,kwahiyo wewe unamiaka 60 naa huko Sasa hv??? Maana hii ni story ya mwaka 75 huko [emoji1787]
Babu gani anaandika eti "eti goma likapigwa pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]"
huwezi kuona Cha ajabu kwasababu wewe ni Mr shetaniUjinga mbaya sana
Mbona sijaona cha ajabu. zaidi tu ya mwandishi aandike iwe ndefu kidogo vioamde vifupi fupi vina shusha vibe
Acha ushamba na uzobaUongo mtupu,kwahiyo wewe unamiaka 60 naa huko Sasa hv??? Maana hii ni story ya mwaka 75 huko [emoji1787]
Babu gani anaandika eti "eti goma likapigwa pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]"
Anayesema uongo ndio mfatiliaji mzuri wa hii stori. Hujalazimishwa kusoma, tuache na stori yetuUongo mtupu,kwahiyo wewe unamiaka 60 naa huko Sasa hv??? Maana hii ni story ya mwaka 75 huko π€£
Babu gani anaandika eti "eti goma likapigwa pale π€£π€£π€£"
Mdio maana watukanaga watu humu mkijua wote mpo sawa humu eti eenh.Uongo mtupu,kwahiyo wewe unamiaka 60 naa huko Sasa hv??? Maana hii ni story ya mwaka 75 huko π€£
Babu gani anaandika eti "eti goma likapigwa pale π€£π€£π€£"
Sasa hivi huyo dada ana miaka kama 75, ina maana ametolewa mwali akiwa na miaka 30 [emoji849]. Kwa kawaida mwali wanatolewa na miaka 13-18
Halafu huu mtindo wa itaendelea mmeutoa wapi? Bongo movie?
Kuna yule jamaa wa "Visa Mikasa vya Kusaka Utajiri", hajaendelea mpaka leo ... Ni Chizi Maarifa sijui
Basi we mzee muhuni Sana π€£π€£Mdio maana watukanaga watu humu mkijua wote mpo sawa humu eti eenh.
Ungenitafuta faragha ningekwambia ID ya mzee wetu Mwinyi ni ipi humu
πππ
Wachawi wametuchelewesha sanaSawa nakupata nakupata mkuu...
ongeza speed tu.
Tumechelewa sana .....au nasema uongo ndugu zangu ....?
Andika yakoAcha ushamba na uzoba