Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Uwe unaandika na namba basi ili nikitoka kukoroga mboga jikoni nakuja kutafuta episode ya ngapi sasa, samahani lakini !
 
Inaendelea...
Baada ya miaka miwili kupita (1977)
Hata baada ya kipindi cha miaka miwili kupita niliendelea kuwa katika "koma" hata nisijue nani anayekuja kuniona nani anayetoka.

Ndoto za kuendelea na shule sio tu zilififia bali zilifutika kabisa kwani wenzangu walikuwa teyari walishahitimu shule ya msingi.

Sikuwa najuha chechote kinachoendelea duniani hata haya ninayo yaandika kwenye sehemu hii inayofuata ya simulizi hii nami niliadithiwa na dada yangu .Kama utakumbuka sehemu iliyopita nilisimulia kuhusu dada yangu aliyekuwa akichezwa mwali japo sikulitaja jina lake katika sehemu hile lakini jina lake halisi ni Mwenda.

Yeye ndiye aliyepata kunisimulia mm yote yaliyonikuta baada ya kuwa katika "koma" kwa miaka mingi na mpaka leo hii naandika simulizi hii.

Mungu azidi kumlinda dada Mwenda na kumpa miaka mingi dunia.

Endelea....
 
Back
Top Bottom