Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

Hv wew ndio mwajiriwa wa serekalininkweli serekali ya mam samia iko na kaz kubwa kam wee ndio afisa wa serekali muhuni kias chake

Ngoja nitakudaka hapo ddm
 
Hv wew ndio mwajiriwa wa serekalininkweli serekali ya mam samia iko na kaz kubwa kam wee ndio afisa wa serekali muhuni kias chake

Ngoja nitakudaka hapo ddm

Unafikiri kule Mama Kaajiri malaika tupu au Sio...(Ni wivuu tu ..)
 
Una miaka mingapi? Maana kwa wenzetu ulaya kijana wa miaka 23, anatengeneza apps, na ana kipato kama waziri mkuu wa bongo.

Wenzako wa Ulaya au Sio, same age as U [emoji1787][emoji1787], being multidollars billionaires, wewe una uwekezaji kiasi gani hadi sasa [emoji19] [emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…