Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #21
N46 EngineEngine gani N46 au N20?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
N46 EngineEngine gani N46 au N20?
Hv wew ndio mwajiriwa wa serekalininkweli serekali ya mam samia iko na kaz kubwa kam wee ndio afisa wa serekali muhuni kias chakeHabari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu?
Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu
Next time chukua N20 utanishukuru.N46 Engine
Nashukuru kwa ushauri mkuu, japo hii haijanisumbua kabisa ila Niko makini kwenye serviceNext time chukua N20 utanishukuru.
N20 same 2.0 more powerfulNashukuru kwa ushauri mkuu, japo hii haijanisumbua kabisa ila Niko makini kwenye service
Kitaa totoz zimejaaa kishenzi yeye anaenda kung'aza shalubu stendi.Mkuu hapo mtaani kwenu hakuna totoz mpaka uende kubung'aa kwenye vituo vya mabasi
Ujanja ni kupiga puli?Ushamba ndo unakusumbua.
Wewe je una kipato km hicho cha vijana wa Ulaya?.Una miaka mingapi? Maana kwa wenzetu ulaya kijana wa miaka 23, anatengeneza apps, na ana kipato kama waziri mkuu wa bongo.
Huu ni wivu sasaGari ya mkopo au nasema uongo ndugu zangu
Hv wew ndio mwajiriwa wa serekalininkweli serekali ya mam samia iko na kaz kubwa kam wee ndio afisa wa serekali muhuni kias chake
Ngoja nitakudaka hapo ddm
Una miaka mingapi? Maana kwa wenzetu ulaya kijana wa miaka 23, anatengeneza apps, na ana kipato kama waziri mkuu wa bongo.