Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Mpumbavu mkubwa wewe
Kwahyo na CCTV cameras za huyo JAMBAZI ktk duka la Mhindi,ktk hotel ya mbowe nazo hukuona? Tulia jambaz atanyolew v...z..i
 
Dogo wame fabricated kweli ila mapito tu.


#Justice for SABAYA
 
Magufuli kawaponda ponda kisiasa, safisa zilizo kuwa zikiitwa ngome za upinzani. Kubaki na Mbunge mmoja sio mchezo. Kabati limemuangukia shujaa Ole Sabaya.
 
Mtu mwenye akili hawezi kutoa hoja ya kijinga kama yako
Hivi Magufuli akiwa madarakani ungeenda kumshitaki Sabaya wapi?
Mtanzania yupi anajua Sheria ya kumshitaki mteule wa Rais?
Mbona aliyekuwa Mkuu wa Police Arusha kipindi hicho alikataa kuwa Sabaya alimpiga mtu risasi night club wakati ilikuwa ni ukweli aliamua kumfunika na kanga
Sasa kwa mazingira hayo Nani wa kumkamata mtu kama huyo
Nadhani huelewi kuwa DC ni mwenyekiti wa usalama wa wilaya so police wote wako chini yake ndani ya territory yake
Ila huyu alikuwa Mkuu wa wakuu wa wilaya wote nchini border free DC
 
wewe ni sawa na mke mwenza mwenye uchungu wa kuporwa mume,tulia kwanza iache akili yako ifanue kazi.

kwahiyo leo mama samia ni wa kuwafunga wakosajibwa serikali ya awamu ya 5!!!!tena waliokuwa viongozi wa uma!!
Mpumbavu usiyeweza hata kutafakari
 
Muzee kesho wikiend ni visiting day mmejipangaje kumpelekea mahitaji.
 
Nadhani sababu unasema ushahidi upo fabricated na hakuna proof basi tusubiri Mahakama itaamua nini acha kupre-empty kesi.

Time is a good teacher, Ila nawe ulipaswa kuunganishwa kwenye kesi ili ukamtetee vizuri maana inaonekana unamjua sana na unajua deal za huyu mwenzio
 
MATAGA mnahaha sana.

 
Magufuli kawaponda ponda kisiasa, safisa zilizo kuwa zikiitwa ngome za upinzani. Kubaki na Mbunge mmoja sio mchezo. Kabati limemuangukia shujaa Ole Sabaya.
Haya leo Jumamosi kamtembelee mumeo Sabaya huko Kisongo,mpelekee na kilainishi kabisa
 
We jamaa kumbe bure kabisa...
 
Sasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?
Hawa wamechanganyikiwa baada ya mungu wao kufa. Walidhani ataishi milele na kuendelea kunyanyasa na kuua na kupoteza watu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…