luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kwahyo kama chadema iliumizwa na huyo KENGE unataka uizuie ?CHADEMA ndiye mlalamikaji, shahidi, ripota, na msikilizaji. Nasikia kuna mabadiliko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo kama chadema iliumizwa na huyo KENGE unataka uizuie ?CHADEMA ndiye mlalamikaji, shahidi, ripota, na msikilizaji. Nasikia kuna mabadiliko?
Mpumbavu mkubwa weweKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Cctv ya akivamia duka la Mhindi na bunduki nayo unabisha?Proof beyond reasonable doubt
Magufuli kawaponda ponda kisiasa, safisa zilizo kuwa zikiitwa ngome za upinzani. Kubaki na Mbunge mmoja sio mchezo. Kabati limemuangukia shujaa Ole Sabaya.Hakuna kitu kibaya kama kupambana na mtu asiye adui yako. CHADEMA inaingiaje katika ishu ya Sabaya?
Aliyeagiza uchunguzi ni Mwenyekiti wa CCM, aliyemsimamisha kazi ni mwenyekiti wa CCM, aliyemuhoji ni TAKUKURU, organ ya Serikali inayoongozwa na CCM, aliyemshtaki ni DPP aliyechaguliwa na mwenyekiti wa CCM sasa CHADEMA inaingia wapi hapa we jamaa.
Kipindi hiki mngetumia sala zenu na nguvu zenu kujisafisha kuliko kupambana na CHADEMA.
Mtu mwenye akili hawezi kutoa hoja ya kijinga kama yakoKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Huna akiliCHADEMA ndiye mlalamikaji, shahidi, ripota, na msikilizaji. Nasikia kuna mabadiliko?
Ila manyapara Wana visa. Mtu mzima mwanaume wanamuogesha.Itakuwa hata wale Manyapara aliotaka kumuogesha ni Chadema
Mpumbavu usiyeweza hata kutafakariwewe ni sawa na mke mwenza mwenye uchungu wa kuporwa mume,tulia kwanza iache akili yako ifanue kazi.
kwahiyo leo mama samia ni wa kuwafunga wakosajibwa serikali ya awamu ya 5!!!!tena waliokuwa viongozi wa uma!!
Sabaya anapakwa mafuta huko watu wanajipigia tuMagufuli kawaponda ponda kisiasa, safisa zilizo kuwa zikiitwa ngome za upinzani. Kubaki na Mbunge mmoja sio mchezo. Kabati limemuangukia shujaa Ole Sabaya.
Nadhani sababu unasema ushahidi upo fabricated na hakuna proof basi tusubiri Mahakama itaamua nini acha kupre-empty kesi.Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
MATAGA mnahaha sana.Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Haya leo Jumamosi kamtembelee mumeo Sabaya huko Kisongo,mpelekee na kilainishi kabisaMagufuli kawaponda ponda kisiasa, safisa zilizo kuwa zikiitwa ngome za upinzani. Kubaki na Mbunge mmoja sio mchezo. Kabati limemuangukia shujaa Ole Sabaya.
We jamaa kumbe bure kabisa...Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Hawa wamechanganyikiwa baada ya mungu wao kufa. Walidhani ataishi milele na kuendelea kunyanyasa na kuua na kupoteza watu.Sasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?
Unataka kutuambia kuwa chadema ndio inaongoza serikali? Wewe huna ubongo, umejaa kamasi tu kichwani.Huwezi kujua kitu wewe bado mtoto