Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Mashekhe wa uamsho wameshashtakiwa?Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashekhe wa uamsho wameshashtakiwa?Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
Mbowe alikukula halafu hakukulipa? Mbona unamtajataja hata mahali ambapo ni irrelevant?Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
Ilikuwa zamu yao, hii sasa yenu. Itakuja tena yao halafu yenu. Hivyo hivyo....Hapo wamepika hizo kesi kumkomoa asiweze kutoka kwa dhamana. Watachelewesha kesi ili kumkomoa. Ina maana kuna zengwe wenyenacho wamepata partners kwenye huu utawala unaojidai na magufuli ni kitu kimoja.
Hahaha!kuna watu mnajua kukera haswaaaAcha propaganda Leta balance report tuelewe mkuu. Kama hana kosa atarudi home kama Kuna kosa sheria itachukua mkondo wake nakuhakikishia yupo Salama na kaamka na amepiga mswaki na kupata breakfast kama watu wengine
Wewe ni kubwa JINGA. unatapatapa! Sabaya kakuacha mjaneHuwezi kujua kitu wewe bado mtoto
Katika hali ya kawaida kama kweli wewe ni wakiume sifikiriii uje na maandiko kama uliyoandika ni ama una inahitaji binafsi toka kwa muhusika/ kuolewa nae , huelewi maana ya utu kama yule mpuuzi mwenzenu mliyekuwa mkimuita mzalendo (Magufuli) au nawe ni miongoni mwa walioshiriki kutesa, kuua na kukandamiza haki za watu.Sawa mama
Sawa mamaKatika hali ya kawaida kama kweli wewe ni wakiume sifikiriii uje na maandiko kama uliyoandika ni ama una inahitaji binafsi toka kwa muhusika/ kuolewa nae , huelewi maana ya utu kama yule mpuuzi mwenzenu mliyekuwa mkimuita mzalendo (Magufuli) au nawe ni miongoni mwa walioshiriki kutesa, kuua na kukandamiza haki za watu.
Ulaaniwe eww mwana wa shetani
Mlioko Arusha 18 ikifika mumuangaalie sabaya anavyotembea na Kama amejichubua usoni na kusuka nywele.Tarehe 18 June si mbali atasomewa mashitaka na atapata nafasi ya kujibu tuhuma haki zake zote zitalindwa
Kumbe Ole Ubaya ana mawakili wengi....Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Mbona karibu sana angekaa hata miaka 3 kwanza ndipo zianze kusikilizwa kesi zakeMlioko Arusha 18 ikifika mumuangaalie sabaya anavyotembea na Kama amejichubua usoni na kusuka nywele.
Ikiwezekana mpeni sabuni ya klorite akajichubue uso zaidi.
Hivi Serikali ya awamu ya Sita inaongozwa na Chadema?Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90...