Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Hapo wamepika hizo kesi kumkomoa asiweze kutoka kwa dhamana. Watachelewesha kesi ili kumkomoa. Ina maana kuna zengwe wenyenacho wamepata partners kwenye huu utawala unaojidai na magufuli ni kitu kimoja.
Ilikuwa zamu yao, hii sasa yenu. Itakuja tena yao halafu yenu. Hivyo hivyo....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Acha propaganda Leta balance report tuelewe mkuu. Kama hana kosa atarudi home kama Kuna kosa sheria itachukua mkondo wake nakuhakikishia yupo Salama na kaamka na amepiga mswaki na kupata breakfast kama watu wengine
Hahaha!kuna watu mnajua kukera haswaaa
 
Watu wapo na CCTV camera zipo. Kwisha mambo yake. Nasikia ana mimba sasaiv huko jela
IMG-20210611-WA0069.jpg
 
Sawa mama
Katika hali ya kawaida kama kweli wewe ni wakiume sifikiriii uje na maandiko kama uliyoandika ni ama una inahitaji binafsi toka kwa muhusika/ kuolewa nae , huelewi maana ya utu kama yule mpuuzi mwenzenu mliyekuwa mkimuita mzalendo (Magufuli) au nawe ni miongoni mwa walioshiriki kutesa, kuua na kukandamiza haki za watu.
Ulaaniwe eww mwana wa shetani
 
Hiz ndio akili zenye ukubwa wa kisoda, kati ya haya mashtaka lipi ni la kisiasa,kwa hii artical yako inareflect kilichokuwepo kwa huyo kaka ako chabaya wkt wa utawala wake,sasaiv kashakuwa mjelajela nahatotoka
 
Tarehe 18 June si mbali atasomewa mashitaka na atapata nafasi ya kujibu tuhuma haki zake zote zitalindwa
Mlioko Arusha 18 ikifika mumuangaalie sabaya anavyotembea na Kama amejichubua usoni na kusuka nywele.
Ikiwezekana mpeni sabuni ya klorite akajichubue uso zaidi.
 
Lowasa mpaka Leo namudawowote anaweza kamatwa makosa ya jinai hua hayaishi kirahisi hivyo...kutokamatwa sabaya kipindi awamu ya 6,haimuondolei uhalali wakukamatwa nakujbu tuhumazake akithibitika kwaheri yakuonana mtaani ,Ameshaaza kuoga kikubwa asiiname
 
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'

Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?

Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.

Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.

My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Kumbe Ole Ubaya ana mawakili wengi....
 
Waliokuwa bize kuuwa upinzani na wapinzani wamekufa wao, wengine wapo jela kina Sabaya, wengine wakichezea utumbuzi, bashiru polepole kange wamepotea kabisa huku upinzani ukiwa imara.Badala ya kuuwa upinzani wamekufa wao kimwili na kisiasa.
 
Sabaya alikuwa yupo bize kuhakikisha upinzani na wapinzani anawamaliza leo kamalizwa yeye huku upinzani ungari imara.
 
Mlioko Arusha 18 ikifika mumuangaalie sabaya anavyotembea na Kama amejichubua usoni na kusuka nywele.
Ikiwezekana mpeni sabuni ya klorite akajichubue uso zaidi.
Mbona karibu sana angekaa hata miaka 3 kwanza ndipo zianze kusikilizwa kesi zake
 
Amen Amen nawaambia, 7ya sasa hivi amelala usingizi wa mang'amu ng'amu kutokana na chawa wanaojitaftia rizki!
 
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'

Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90...
Hivi Serikali ya awamu ya Sita inaongozwa na Chadema?
 
Back
Top Bottom