Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Wewe uliona kwa macho yako diwani akipigwa? Uliona alichoandika Ngurumo juu ya huyu diwani. Kwa nini wale wenye duka waliokuwa wanateswa hawakushitaki?
 
Umegoma kabisa kutumia akili
 

Amekuwa Wema Sepenga ndani ya siku 7 tu, halafu anajiita jasiri wa kimasai! Jasiri anakonda kwa kuhojiwa siku 7 tu? Huyu akikaa kule ndani mwaka mmoja anakata kamba!
 
its so funny. unadai ushahidi ni wa kutengeneza?
unao ambao si wa kutengeneza?

umehoji wanao mshtaki?

acha kufajifanya unafanya kazi ya vyombo vya usalama. wao wamepewa dhamana ya kuchunguza na lukusanya ushahidi.
hizo assumption unazokuja nazo bila vidhibitisho.. zitaishia humu tu.
 
Ndugu yangu,
Labda unisaidie, hivi kwani CHADEMA bado ipo?
 
ulikuwa wapi majambazi walipoambiwa chapeni kazi?
 
Laiti ungelijua usingethubutu kuandika huu upuuzi.
Aacha kuonesha upumbavu wako mbele za watu. Chadema haina TAKUKURU wala Jeshi la Polisi. Hivi chadema ikifutika mtakuwa mnatumia chama gani kuongelea pumba zenu?
 
Utumbo mtupu umeandika hapa.. Mataga mnateseka sana.. Chadema wamehusikaje hapo kwa sabaya kukamatwa..
 
lilechozi la sabaya kwenye msiba lilikuwa la maana sana.haya ndio matokeo ya lile chozi jamaa alikuwa halilii na msiba alikuwa analia na mambo haya.
 
Aliekuambia nafanya kazi za vyombo vya usalama nani? Kama wamepewa hiyo dhamana mbona rais kamuambia Igp wafute kesi walizobambikia watu makosa? Tumia akili bwege mkubwa.
 
Wewe uliona kwa macho yako diwani akipigwa? Uliona alichoandika Ngurumo juu ya huyu diwani. Kwa nini wale wenye duka waliokuwa wanateswa hawakushitaki?
Natamani nifunguke ila nitatambulika kirahisi sana. Kwa ufupi nilikuwa eneo la tukio. Polisi walienda hadi wakapewa pf3 wakaenda kutibiwa mount meru hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…