Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Huyo ndugu yenu hachomoki... Akimaliza kubakwa kule mahabusu atafuata nyayo za mwendazake!Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Kwa taarifa yako... Kabeba hadi zile kesi, laana na madhambi ya baba yake!!