mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika.
Kisha baada ya hapo wanapiga simu mtandao wa simu na kudai kua wanataka ku reset password za mobile money na wataulizwa kuhusu NIDA wata taja kisha wataruhusiwa ku reset baada ya hapo watahamisha pesa ya mtandao husika.
Watahamia bank kupitia namna zao kwa kureport hivyo hivyo nako watahamisha pesa !!
Unapo poteza simu jambo la kwanza kabisa hakikisha unaenda kublock na kureport ile line kua imepotea kwa usalama wa taarifa zako. Kisha endelea na taratibu zingine za kurejesha mawasiliano yako