JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

Asante kwa taarifa, ila unaweza piga cm mtandao husika na usipate msada. Niliibiwa cm na nikapiga mitandao husika na hamna msada nilopata ilinibid kesho yake asbh niende kublock makao makuu ya krb.
Kama kweli ulipiga simu mtandao husika na wakazembea kuifunga line yako na kama siku hiyo uliyoripoti kuna fedha ilitolewa au watu walituma hela kutokana na mawasiliano ya simu yako uliyoitolea taarifa, unaweza kudai fidia. Fungua malalamiko TCRA udai fidia
 
Sio rahisi Ivo kama Mleta Mada alivyoeleza, Tena Account inavyozidi Kunona ndio Complexity inazidi kuwa Kubwa kwenye kufanya Pin reset, Unless hao wa mtandao iwe inside Job wajue kinachoendelea au Bank
Chakusauri watu ni Kuwa watu wa enable PIN kwenye simu zao ili Line ikitolewa ikawekwa kwa simu Inakuwa ngumu Kuendelea mpaka ufungue na PIN kuna wakati fulani naona mitandao ya simu ilianza kufanya iyo issue ya PIN kama default setting ila i dont know kwa sasa

Secondly tuhamie kwenye Esim na tuweke security measures nyingi ili ikitokea The device has been lost, Inakuwa Ngumu kwa intruder kupata access ya Chochote, More ever kama una latest gadget basi una Command tu apo apo ulipo kwa device nyingine remotely na Mwizi hataweza kutoa Chip coz ni Esim wala Kuzima iyo simu labda iishe chaji
 
Hatari sana..!
Kwa maslahi mapana ya wateja, ni vizuri ukataja jina la mtandao husika ili wajirekebishe.
 
hakuna kitu kama hicho vipi kuhusu finger print alama za vidole
 
Bado siamini kama ni rahisi hivyo. Nimeibiwa simu mara mbili na sikuzifungia kadi za simu hadi nilipokuja kurenew
 
Kama kweli ulipiga simu mtandao husika na wakazembea kuifunga line yako na kama siku hiyo uliyoripoti kuna fedha ilitolewa au watu walituma hela kutokana na mawasiliano ya simu yako uliyoitolea taarifa, unaweza kudai fidia. Fungua malalamiko TCRA udai fidia
Uzuri nilikua Sina hela kwenye simu, but line amby ilikua na pin sijui puk ilikua haipatikani, Ile Amby Haina puk ilkw ipo hewani. Na walianza kutumia watu ujumbe sijui tuma hela. Ila namshukuru tu kesho yake niliwahi kwenda kuzerenew.
 
Sio rahisi Ivo kama Mleta Mada alivyoeleza, Tena Account inavyozidi Kunona ndio Complexity inazidi kuwa Kubwa kwenye kufanya Pin reset, Unless hao wa mtandao iwe inside Job wajue kinachoendelea au Bank
Chakusauri watu ni Kuwa watu wa enable PIN kwenye simu zao ili Line ikitolewa ikawekwa kwa simu Inakuwa ngumu Kuendelea mpaka ufungue na PIN kuna wakati fulani naona mitandao ya simu ilianza kufanya iyo issue ya PIN kama default setting ila i dont know kwa sasa

Secondly tuhamie kwenye Esim na tuweke security measures nyingi ili ikitokea The device has been lost, Inakuwa Ngumu kwa intruder kupata access ya Chochote, More ever kama una latest gadget basi una Command tu apo apo ulipo kwa device nyingine remotely na Mwizi hataweza kutoa Chip coz ni Esim wala Kuzima iyo simu labda iishe chaji
Labda hizo eSIM uwe umeweka PIN vinginevyo hakuna kitu cha maana utakua umefanya, mbaya zaidi kama simu yako iko unlocked bootloader basi mwizi pro ana access eSIM zako vizuri tu..
 
Back
Top Bottom