Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu. Shukran kwa ushauri 🙏Tafuta siraha uimiliki kisheria mkuu, itakusaidia.
Ameen mkuu, pia nashukur kwa maombi yako mkuu.Pole sana mkuu Mungu akulinde na chukua tahadhari muda wote.
Nasikia cape town nafuu sana kwa uhalifu...au PretoriaHapana mkuu, japo niliwahi kuzaa na msauzi, lkn mke wangu ninaeishi nae huku ni mbongo. Ila tayari tumeshazaa nae watoto wawili, mmoja anaingia darasa la tatu mwakani, na mdogo ataingia la kwanza.
Elimu ya hapa inafaida kubwa kwa nchi yoyote ya Afrika. Hivyo naona bora niendelee kupambana ili kuwapatia watoto wangu elimu bora kwa maisha yao ya baadae.
Pia huyo mtoto niliezaa na mzawa kwa sasa yupo kwenye mikono yangu namsomesha na ashafika la 5. Huyu pamoja na kwamba simtegemei sana kama nitaweza kurudi nae nyumban pale itapobidi kurudi, lkn naona ni damu yangu, siwezi kuacha kumpa haki yake ya msingi kwa ajili ya maisha yake ya baadae hata ntakapokuwa sipo hapa.
Sababu yeye hakupenda au kupanga kujileta mwenyewe dunia, bali ni starehe za sisi wawili (mimi na mama yake) ndio zilizosababisha ujio wake. Hivyo ni lazima nimpambanie kwa ajili ya dreams zake.
Nikiona presha inazidi nitahamia mji mungine, maana nchi hii ni kubwa na kila mji au kila sehemu kuna fursa zake.
Wakuu mkipata pesa Tanzania ni salama Kuna matukio madogo madogoHabari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini 👇
Wakuu mimi ni mbongo nilieamua kuhamishia maisha yangu Kaburu longtime ago, japo mara nyingi huwa nakuja bongo kwa mambo yangu binafsi na kuondoka.
Usiku wa kuamkia leo, kuna ndugu yangu alikuwa anasafiri na ndege ya usiku, kutoka hapa Afrika kusini kuelekea Tz (nyumbani). Huyu ndugu yangu ni mwenyeji wa Cape Town, hivyo alivyofika hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake.
Alikuwa anaondoka na ndege ya saa tisa alfajiri, hivyo ikabidi mimi na rafiki yangu tumpeleke uwanja wa ndege wa Oliver Tambo saa sita usiku, ili awahi kufanya process zake zingine za usafiri nk, na pia na sisi angalau tuwahi kurudi kupumzika kwa ajili ya kesho (leo asubuhi) kazini. Basi baada ya kufika kule na kupiga story mbili tatu za kuagana, na baadae kufanya process zake za usafiri, sisi mida ya saa saba na nusu tukaanza safari ya kurudi nyumbani.
Wakati nakanyaga mafuta katika highway ya kutoka Kempton park kuelekea Johannesburg town, nikaona kama kuna gari fulan ndogo inatufuata kwa nyuma. Mwanzo tulijua ni gari tu ya kawaida au maybe askari wanataka watusimamishe wakague gari yetu (huo ni utaratibu wao), lkn kila nilipokuwa naongeza mwendo na wao pia waliongeza kimya kimya.
Nilivyofika sehemu fulani kuna mjengo mkubwa umeandikwa "Builders Warehouse" Edenvale, nikaingia kushoto kuelekea Edenvale road ila mimi nikakunja kushoto kuelekea upande wa Germiston road, kuangalia nyuma naona na wao wanaelekea upande ule ule ninaoelekea mimi. Sasa nikawa nishajua kwamba jamaa wanatufuata ni sisi na tukifanya masihara tutagawa maisha yetu kwa shetani (nasema ivi kwa sababu mtu anaetaka kukufanyia uovu anakuwa connected moja kwa moja na shetani) hivyo nikabidi nizidishe speed bila kujali mshale unasoma ngapi kibaoni.
Nilivyokunja pale Edenvale road kuelekea Germiston road nikavuka robot ya kwanza (mataa), nikavuka ya pili kuna daraja la highway ya gari zinazotoka Pretoria, alaf mbele nikakunja kulia jamaa wako na sisi tu japo tayari tulikuwa tushawaacha distance kadhaa. Nikakamua kweli kweli mpaka tukakutana na highway wa Albertina Sisulu, jamaa hawakati tamaa wako na sisi tu.
Tukatambaa na highway mpaka mitaa ya karibu na Eastgate Mall. Pale tukakuta kuna gari ya askari imepaki pembeni wanafanya ukaguzi wa kawaida, tukasema hapa hapa ndo tutapopatia usalama wetu. Japo hawakutaka kutusimisha, lkn ikabidi sisi wenyewe tusimame, ili tuwape maelezo ya ile gari inayotufatilia.
Wakati nimepaki pemben nashuka kwenda kuwapa maelezo wale askari tukaona ile gari nayo inakuja wangu wangu.., ila walipoona kuna askari, na sisi tumepaki tukiongea na askari, jamaa wakapandisha kwa njia ya juu kushoto inayoelekea Eastgate kwenyewe na kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwa vile ni usiku na tulikuwa kwenye kukimbizwa na watu hatari, hatukuweza kui mark gari yenyewe wala namba za gari, hivyo ikawa ngumu kwa sisi na askari kuwakamata, kwani tulijaribu kuwafuatilia kwa nyuma na gari yetu tukiongozana na ile ya askari, lkn hola hatukuwapata, na ukizingatia J'burg ni mji mkubwa na una barabara nyingi mno. Basi tukarudi home na kulala hadi asubuhi.
Hii imenikumbusha, week 2 zilizopita, kuna mkongo mmoja alifuatiliwa hivyo hivyo kutoka Yeoville hadi kwake Bez alley. Inasemekana kuwa mkongo baada ya kufika kwake alifungua mlango fasta, na kuingia kwake. Ila bahati mbaya (au naweza kusema siku zake zilikuwa zimefika) hakuwa amebana vizuri gate la kuingilia kwake, na jamaa wakawa wameshafika na kuona nyumba aliyoingia. Jamaa wakapush mlango, wakaingia ndani na kukuta watu wakiwa hawana hili wala lile, jamaa wakiwa na "double 9" mkononi wakauliza yule mtu aliekimbilia humu yuko wapi? Mpopo (nigeria guy) mmoja akajibu hatujamuona, kabla hajamaliza kauli akapigwa ya Paja, na kuelekezewa nyingine kichwani, akaambiwa tunauliza kwa mara ya mwisho, bila jibu sahihi tunafumua ubongo na kukamata mungine mpaka tutawamaliza. Walivyouliza kwa mara ya pili, wote wakajibu pamoja kwamba amejificha chooni.
Ndo wakamwambia mpopo akawaoneshe chooni, kweli Ile kuingia wakakuta jamaa kajificha anatetemeka. Wakamtoa nje mbele ya familia yake, wakamuomba funguo za gari na simu, akawa funguo akasema hana simu. Basi jamaa wakafumua kichwa kwa risasi 4 mbele ya ndugu zake, alafu funguo ya gari wakaachana nayo wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana.
So na sisi tulivyokuwa tunafuatwa, basi nilihisi na mimi yanakwenda kunikuta yale ya mkongo. Kwamba huenda jamaa wamepewa dili tu kama ilivyotokea kwa yule mkongo au labda walikuwa ni majambazo wa magari nk.
Huu ndio unakuaga mwezi mgumu, na hatari kuliko miezi yote hapa Kaburu. Wengi huwa tunaweka mbele maombi na dua mbali mbali ili kuuvuka salama mwezi huu.
Aisee pole sana. SA si salama sana. Jumapili iliyopita nimekutana na mzee mmoja( Baba N) kutoka maeneo ya Kigogo aliniambia kuwa watoto wake wako South na anafurahia sana. Lakini nikiwaza matukio ya huko kwa kweli yataka moyo sana. Maana ni mra nyingi tunapigiwa simu tuchangie pesa ya kusafirisha mwili. Angalia jinsi ya kujilinda.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini [emoji116]

Shukran sana kwa ushauri mkuu. Binafsi sina tatizo na mtu, na mwana anasema yeye hanaga ugomvi na mtu (japo moyo wa mtu msitu)Are you clean, huna bifu na hao jamaa, kuna sehemu umeingilia maslahi ya watu, au mmedhurimiana??Kama walikuwa wanashida na gari, they want bother, watatafuta nyingine, kama walikuwa wanakutafuta wewe personally kuwa makini - watakurudia tena....Ongea na huyo mwenzako pia..isije kuwa yeye ndo alikua target....kama kuna issue mmezingua sort it out..
Cape pia hakufai, yan baada ya jobeg cape inafuatia kwa uhalifu maana nimeshaishi nikaamua kuondoka mwenyewe.Nasikia cape town nafuu sana kwa uhalifu...au Pretoria
Yah ni kweli mkuu. Mimi huku sijalowea, huwa nakuja mara kwa mara nyumbani na namshukuru Mungu nimeshajenga vibanda vyangu kwa ajili ya wanangu. Na pia nimewekeza kwenye mambo fulani.Wakuu mkipata pesa Tanzania ni salama Kuna matukio madogo madogo
Rudini bongoHabari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini 👇
Wakuu mimi ni mbongo nilieamua kuhamishia maisha yangu Kaburu longtime ago, japo mara nyingi huwa nakuja bongo kwa mambo yangu binafsi na kuondoka.
Usiku wa kuamkia leo, kuna ndugu yangu alikuwa anasafiri na ndege ya usiku, kutoka hapa Afrika kusini kuelekea Tz (nyumbani). Huyu ndugu yangu ni mwenyeji wa Cape Town, hivyo alivyofika hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake.
Alikuwa anaondoka na ndege ya saa tisa alfajiri, hivyo ikabidi mimi na rafiki yangu tumpeleke uwanja wa ndege wa Oliver Tambo saa sita usiku, ili awahi kufanya process zake zingine za usafiri nk, na pia na sisi angalau tuwahi kurudi kupumzika kwa ajili ya kesho (leo asubuhi) kazini. Basi baada ya kufika kule na kupiga story mbili tatu za kuagana, na baadae kufanya process zake za usafiri, sisi mida ya saa saba na nusu tukaanza safari ya kurudi nyumbani.
Wakati nakanyaga mafuta katika highway ya kutoka Kempton park kuelekea Johannesburg town, nikaona kama kuna gari fulan ndogo inatufuata kwa nyuma. Mwanzo tulijua ni gari tu ya kawaida au maybe askari wanataka watusimamishe wakague gari yetu (huo ni utaratibu wao), lkn kila nilipokuwa naongeza mwendo na wao pia waliongeza kimya kimya.
Nilivyofika sehemu fulani kuna mjengo mkubwa umeandikwa "Builders Warehouse" Edenvale, nikaingia kushoto kuelekea Edenvale road ila mimi nikakunja kushoto kuelekea upande wa Germiston road, kuangalia nyuma naona na wao wanaelekea upande ule ule ninaoelekea mimi. Sasa nikawa nishajua kwamba jamaa wanatufuata ni sisi na tukifanya masihara tutagawa maisha yetu kwa shetani (nasema ivi kwa sababu mtu anaetaka kukufanyia uovu anakuwa connected moja kwa moja na shetani) hivyo nikabidi nizidishe speed bila kujali mshale unasoma ngapi kibaoni.
Nilivyokunja pale Edenvale road kuelekea Germiston road nikavuka robot ya kwanza (mataa), nikavuka ya pili kuna daraja la highway ya gari zinazotoka Pretoria, alaf mbele nikakunja kulia jamaa wako na sisi tu japo tayari tulikuwa tushawaacha distance kadhaa. Nikakamua kweli kweli mpaka tukakutana na highway wa Albertina Sisulu, jamaa hawakati tamaa wako na sisi tu.
Tukatambaa na highway mpaka mitaa ya karibu na Eastgate Mall. Pale tukakuta kuna gari ya askari imepaki pembeni wanafanya ukaguzi wa kawaida, tukasema hapa hapa ndo tutapopatia usalama wetu. Japo hawakutaka kutusimisha, lkn ikabidi sisi wenyewe tusimame, ili tuwape maelezo ya ile gari inayotufatilia.
Wakati nimepaki pemben nashuka kwenda kuwapa maelezo wale askari tukaona ile gari nayo inakuja wangu wangu.., ila walipoona kuna askari, na sisi tumepaki tukiongea na askari, jamaa wakapandisha kwa njia ya juu kushoto inayoelekea Eastgate kwenyewe na kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwa vile ni usiku na tulikuwa kwenye kukimbizwa na watu hatari, hatukuweza kui mark gari yenyewe wala namba za gari, hivyo ikawa ngumu kwa sisi na askari kuwakamata, kwani tulijaribu kuwafuatilia kwa nyuma na gari yetu tukiongozana na ile ya askari, lkn hola hatukuwapata, na ukizingatia J'burg ni mji mkubwa na una barabara nyingi mno. Basi tukarudi home na kulala hadi asubuhi.
Hii imenikumbusha, week 2 zilizopita, kuna mkongo mmoja alifuatiliwa hivyo hivyo kutoka Yeoville hadi kwake Bez alley. Inasemekana kuwa mkongo baada ya kufika kwake alifungua mlango fasta, na kuingia kwake. Ila bahati mbaya (au naweza kusema siku zake zilikuwa zimefika) hakuwa amebana vizuri gate la kuingilia kwake, na jamaa wakawa wameshafika na kuona nyumba aliyoingia. Jamaa wakapush mlango, wakaingia ndani na kukuta watu wakiwa hawana hili wala lile, jamaa wakiwa na "double 9" mkononi wakauliza yule mtu aliekimbilia humu yuko wapi? Mpopo (nigeria guy) mmoja akajibu hatujamuona, kabla hajamaliza kauli akapigwa ya Paja, na kuelekezewa nyingine kichwani, akaambiwa tunauliza kwa mara ya mwisho, bila jibu sahihi tunafumua ubongo na kukamata mungine mpaka tutawamaliza. Walivyouliza kwa mara ya pili, wote wakajibu pamoja kwamba amejificha chooni.
Ndo wakamwambia mpopo akawaoneshe chooni, kweli Ile kuingia wakakuta jamaa kajificha anatetemeka. Wakamtoa nje mbele ya familia yake, wakamuomba funguo za gari na simu, akawa funguo akasema hana simu. Basi jamaa wakafumua kichwa kwa risasi 4 mbele ya ndugu zake, alafu funguo ya gari wakaachana nayo wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana.
So na sisi tulivyokuwa tunafuatwa, basi nilihisi na mimi yanakwenda kunikuta yale ya mkongo. Kwamba huenda jamaa wamepewa dili tu kama ilivyotokea kwa yule mkongo au labda walikuwa ni majambazo wa magari nk.
Huu ndio unakuaga mwezi mgumu, na hatari kuliko miezi yote hapa Kaburu. Wengi huwa tunaweka mbele maombi na dua mbali mbali ili kuuvuka salama mwezi huu.
Kuna unafuu Kwa wanaoishi Sandton?Cape pia hakufai, yan baada ya jobeg cape inafuatia kwa uhalifu maana nimeshaishi nikaamua kuondoka mwenyewe.
Pretoria ni pazuri mno na kuna usalama wa kutosha maana ni capital city ya nchi.
Na Pretoria ndio nilipoishi muda mrefu na kukutana na huyo mzazi mwenzangu. Ila niliamua kupahama kwa sababu yake hasa baada ya kuoa mke kutoka nyumbani.
Kuna maeneo mengi tu ambayo mtu unaweza kwenda kujichimbia na kuanza maisha. Ila kama mtu una familia basi inahitaji kujipanga kiasi.
Asante mkuu. Huku kuna matukio ya kuuwawa kwa kuwindwa na maadui zako, kuuwawa baada ya kuibiwa na kuuwawa kwa wale vijana wanaoleta usela mavi bila kujua kuwa wanaemletea usela mavi amejiandaaje kujibu.Aisee pole sana. SA si salama sana. Jumapili iliyopita nimekutana na mzee mmoja( Baba N) kutoka maeneo ya Kigogo aliniambia kuwa watoto wake wako South na anafurahia sana. Lakini nikiwaza matukio ya huko kwa kweli yataka moyo sana. Maana ni mra nyingi tunapigiwa simu tuchangie pesa ya kusafirisha mwili. Angalia jinsi ya kujilinda.
Yah Sandton kuna unafuu mkubwa maana wanaishi watu wenye pesa tu.Kuna unafuu Kwa wanaoishi Sandton?
Kwa dharau hizi bora wakumalize tu.
R.I.P in advance.
Haya huwa yanafanyika haswa katika miji mikubwa mkuu.Hivi ni south nzima iko hivi au ni miji michache tu kama Jburg?? Maana nataka kwenda kutembea nisije nikaingia cha kike utalii ukaishia hotelini
Hivi ni south nzima iko hivi au ni miji michache tu kama Jburg?? Maana nataka kwenda kutembea nisije nikaingia cha kike utalii ukaishia hotelini
Swadakta kbs mkuu.Ninakuhakikishia utakufa Kabla yake.
Swadakta kbs mkuu.
Ubarikiwe kwa comment bora hapa JF.