Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

He needs to make peace with the mob
 
pole sana mkuu wangu
 
eeh huko south hapana hapafai kuishi ni jehanam ndogo huko...
 
Shauri yako😀😀
Jizime Data.
Unajifanya huogopi kufa wakati juzi usiku umesikia kelele za panya road umekimbia mpaka msamba wa suruali umetatuka

Pole sana kijana.

Usinichukulie nashinda Celebrities forum ukanichukulia poa.

Kwa kifupi tu nimeanza michezo ya mapigano (Boxing) nikiwa nina miaka 15 ,baadaye nikahamia kwenye Martial Arts .

Balaa langu linajulikana, siwezi kukufungulia codes zaidi ya hapa .
 

Kuwa GymTrainer ndio kujua mapigano?
Vijana wa Kinondoni mna vituko sana
 
It's a very normal day life in Jozi, .. kufuatiliwa, kukurupushwa, kukoswakoswa, kuporwa gari, simu na wallet , kukabwa mchana kweupe huku watu wakiendelea na shughuli zao km vile hamna kinachoendelea.....nk

Yaani gari kukufuata nyuma tu unakimbilia conclusion ya kwamba walitaka kukuuwa.... umejuaje walichokitaka?

Inawezekana
1. Wewe ni mgeni sana Jozi
2. Upo bongo, ila hii story umesimuliwa, kwani hizo road ulizotaja ni sahihi.
3.Muongo.

Unapata wapi utulivu wa kusimulia story ndefu namna hii" (with details) kwenye maisha yasiyokuwa na utulivu where every second count?
 
Wanasema south africa uzunguni pamekuwa pagumu mno kuingilika na vibaka kwai io siku iz vibaka shughuli za ukabaji wamezihamishia kwa weusi wenzao
Yah kuna kitu kinaitwa gated community nafikiri idea imeanzia ulaya huko . yani majumba kadhaa ikiwemo recreation facilities yanazukwa na fence na. Entrance zinakuwa moja au mbili with maximum security, yani inakuwa ni kama serekali au nchi inayojitegemea na kunakuwa na sheria zake. , mwizi au kibaka kuingia huko ni ngumu sana .
Makaburu pia walianzisha miji mipya kuwakimbia blacks, miji kama four ways ni mipya. Na mweusi ukikutwa huko lazima uwe na sababu genuine .
 
...Asante Kwa kutujulisha Mitaa ya Bondeni !! [emoji1][emoji1]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…