Usiombee wakudake na huoo mguuHapo Joburg maduka mengi ya Silaha, hadi $ 400 unapata pistol nzuri sana, up to 18 rounds, take Glock 19 is best, mfano Spartan Arms, nunua mguu wako wa kuku unatulia, la sivyo utaishi kama paka na panya, sasa ili wewe uwe paka pia, nunua pistol, na kuna range center nyingi hapo Joburg
Na mimi nlimjibu hivo hivo ππ πUsiombee wakudake na huoo mguu
Atcl cargo inakuhusu
Asante mkuu π
Kwa hapa kuwa nayo sio tatizo, bali tatizo ni kukutwa nayo.
Ukisema uipate kiuhalali itabidi ufate process nyingi mno ambazo wengi tunashindwa.
Mitandao yote ya kijamii lzm ukumban na wa2 aina ya jamaa. Ivyo ni kusoma na kupotezea tuHata na mimi nimemshangaa jamaa kwa kunishambulia bila sababu. Yeye alikuwa ashatoa ushauri wake unatosha.
Sasa mambo ya kunishambulia sijui yalitoka wapi na wakati hatujuani na hafahamu sababu za mimi kuendelea kuishi hapa.
Alafu ukute mguu wa kuku wenyewe uliwai kuusika na kifo cha polisi. Apo ndo utajua kama dunia inazunguka kuanzia juu kwenda chini au kuanzia kushoto kwend kulia πUsiombee wakudake na huoo mguu
Atcl cargo inakuhusu
Hahaha hata mimi nliliona hilo nkapotezea mkuu.Mitandao yote ya kijamii lzm ukumban na wa2 aina ya jamaa. Ivyo ni kusoma na kupotezea tu
Huku ndio mwisho wa dunia mkuu, kudhulumiwa uhai ni mara 1 tu.Kaburu watu mafiaa aisee, daah sio poa kile kipande
Hahaha.. ulifikiri hao wakwetu wanaokimbizwa na panya road mkuu.daah mwanzoni sikuupa uzito huu uzi.
kichwa cha habari kilivyokaa nikajua ni hawa polisi wetu wa hapa bongo hawa fulu janjajanja wa kutengeneza matukio na vistori vya ajabuajabu
dah pole man
katoe sadaka yako kwa imani yako sasa
Namshauli uzingatie kwa makini ushauli wakoPole sana
Maisha ni kupambana , Sina uhakika sana kama hayo majambazi walikua wanawajua au ni wale wa pata potea ( guess) TU huyu ana hela tumvamie tuchukue gari au una maisha mazuri kuwazidi.
Lakini pia ushauri wangu Jenga kujiwekea ulinzi ambao hauna gharama mf weka CCTV kamera nyumbani , kwenye gari uweke kitu cha ku-monitor usalama na ikiwekeza anza process za kutafuta bastola hata kama utaipata kwa muda mrefu maadam bado una maisha yako huko itakusaidia kwa siku zijazo.
Lkn pia acha kuamini Kila mtu Kuna Watz pia Wana roho mby anataka aje nyumban labda kakosa nauli anakuomba ukimkatalia anakutafutia majambazi wakuue so kuwa makini sana.
Usisahau kuwekeaza nyumbani Ili Watz wenzako nao wapate ajira na wewe uingize pesa na Serikali ikusanye Kodi kwa ajili ya maendeleo.
La mwisho kama una amini Mungu Katoe sadaka ya shukrani kwa kukuepusha na kifo na sisi ndugu zako tunaokuombea Kila siku ufanikiwe huko fanya mpango hata wa buku mbili kaka maisha magumu sana.
Mbona inasemekana kuwa watu weng wanazo au hua ni za bandia?Usiombee wakudake na huoo mguu
Atcl cargo inakuhusu
Huu ni ushauli muhimu sana kwa mtoa mada, apite auchukue na kuufanyia kazi.daah mwanzoni sikuupa uzito huu uzi.
kichwa cha habari kilivyokaa nikajua ni hawa polisi wetu wa hapa bongo hawa fulu janjajanja wa kutengeneza matukio na vistori vya ajabuajabu
dah pole man
katoe sadaka yako kwa imani yako sasa
Nimezingatia ushauri wa kila mtu mkuu.Namshauli uzingatie kwa makini ushauli wako
Za bandia?Mbona inasemekana kuwa watu weng wanazo au hua ni za bandia?
Ok mkuu πHuu ni ushauli muhimu sana kwa mtoa mada, apite auchukue na kuufanyia kazi.
Chukua akiba yako njoo bongo! Wekeza fanya biashara! Huzuri wa bongo ni amani! Njoo pm nikuonyeshe maeneo unaweza kufanya biashara ukapata helaMpaka sasa sijajua kama walikuwa na lengo la kuiba gari, kuniua mimi au kumuua rafiki yangu.
Hata hivyo tumeshafikisha taarifa kwenye vyombo husika. Hivyo tunafuatilia na kumuomba Mungu atuepushe na umauti wa aina hii.
Shukran sana kwa mchango wako mkuu.
Nimechukua wazo lako na mimiHongera kwa kutambua hatari...
Next time jitahidi kuchukua aina yoyote ya ushahidi pia gari yako iwekee Dashboard camera.. na rear camera. Pia weka tinted kali.
Nyumba yako iwekee security nzuri bila kusahau camera.. sometimes unapata ushahidi kwa kufatilia footages za miezi kadhaa nyuma na kumjua/kuwabaini watu wabaya.
Pia ukiwa na mishe zako usiwe mtu wa kutumia njia moja. Yaan njia hiyo hiyo utakayotoka nayo ndio urudi nayo..
Jitahidi uwe mtu wa kubadiri njia mara kwa mara yaan UNPREDICTABLE