Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Hapo Joburg maduka mengi ya Silaha, hadi $ 400 unapata pistol nzuri sana, up to 18 rounds, take Glock 19 is best, mfano Spartan Arms, nunua mguu wako wa kuku unatulia, la sivyo utaishi kama paka na panya, sasa ili wewe uwe paka pia, nunua pistol, na kuna range center nyingi hapo Joburg
Usiombee wakudake na huoo mguu
Atcl cargo inakuhusu
 
Hata na mimi nimemshangaa jamaa kwa kunishambulia bila sababu. Yeye alikuwa ashatoa ushauri wake unatosha.

Sasa mambo ya kunishambulia sijui yalitoka wapi na wakati hatujuani na hafahamu sababu za mimi kuendelea kuishi hapa.
Mitandao yote ya kijamii lzm ukumban na wa2 aina ya jamaa. Ivyo ni kusoma na kupotezea tu
 
daah mwanzoni sikuupa uzito huu uzi.

kichwa cha habari kilivyokaa nikajua ni hawa polisi wetu wa hapa bongo hawa fulu janjajanja wa kutengeneza matukio na vistori vya ajabuajabu

dah pole man

katoe sadaka yako kwa imani yako sasa
 
daah mwanzoni sikuupa uzito huu uzi.

kichwa cha habari kilivyokaa nikajua ni hawa polisi wetu wa hapa bongo hawa fulu janjajanja wa kutengeneza matukio na vistori vya ajabuajabu

dah pole man

katoe sadaka yako kwa imani yako sasa
Hahaha.. ulifikiri hao wakwetu wanaokimbizwa na panya road mkuu.

Mi nazungumzia hawa wanaotembelea laini ya kifo kila siku hapa Kaburu.
 
Pole sana
Maisha ni kupambana , Sina uhakika sana kama hayo majambazi walikua wanawajua au ni wale wa pata potea ( guess) TU huyu ana hela tumvamie tuchukue gari au una maisha mazuri kuwazidi.

Lakini pia ushauri wangu Jenga kujiwekea ulinzi ambao hauna gharama mf weka CCTV kamera nyumbani , kwenye gari uweke kitu cha ku-monitor usalama na ikiwekeza anza process za kutafuta bastola hata kama utaipata kwa muda mrefu maadam bado una maisha yako huko itakusaidia kwa siku zijazo.
Lkn pia acha kuamini Kila mtu Kuna Watz pia Wana roho mby anataka aje nyumban labda kakosa nauli anakuomba ukimkatalia anakutafutia majambazi wakuue so kuwa makini sana.

Usisahau kuwekeaza nyumbani Ili Watz wenzako nao wapate ajira na wewe uingize pesa na Serikali ikusanye Kodi kwa ajili ya maendeleo.

La mwisho kama una amini Mungu Katoe sadaka ya shukrani kwa kukuepusha na kifo na sisi ndugu zako tunaokuombea Kila siku ufanikiwe huko fanya mpango hata wa buku mbili kaka maisha magumu sana.
Namshauli uzingatie kwa makini ushauli wako
 
daah mwanzoni sikuupa uzito huu uzi.

kichwa cha habari kilivyokaa nikajua ni hawa polisi wetu wa hapa bongo hawa fulu janjajanja wa kutengeneza matukio na vistori vya ajabuajabu

dah pole man

katoe sadaka yako kwa imani yako sasa
Huu ni ushauli muhimu sana kwa mtoa mada, apite auchukue na kuufanyia kazi.
 
Mpaka sasa sijajua kama walikuwa na lengo la kuiba gari, kuniua mimi au kumuua rafiki yangu.

Hata hivyo tumeshafikisha taarifa kwenye vyombo husika. Hivyo tunafuatilia na kumuomba Mungu atuepushe na umauti wa aina hii.

Shukran sana kwa mchango wako mkuu.
Chukua akiba yako njoo bongo! Wekeza fanya biashara! Huzuri wa bongo ni amani! Njoo pm nikuonyeshe maeneo unaweza kufanya biashara ukapata hela
 
Swakopmund City Namibia
FB_IMG_1707888643620.jpg
 
Hongera kwa kutambua hatari...

Next time jitahidi kuchukua aina yoyote ya ushahidi pia gari yako iwekee Dashboard camera.. na rear camera. Pia weka tinted kali.

Nyumba yako iwekee security nzuri bila kusahau camera.. sometimes unapata ushahidi kwa kufatilia footages za miezi kadhaa nyuma na kumjua/kuwabaini watu wabaya.

Pia ukiwa na mishe zako usiwe mtu wa kutumia njia moja. Yaan njia hiyo hiyo utakayotoka nayo ndio urudi nayo..

Jitahidi uwe mtu wa kubadiri njia mara kwa mara yaan UNPREDICTABLE
Nimechukua wazo lako na mimi
 
Back
Top Bottom