Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Rudi nchini, huko hapakufai kabisa. Bora kulala njaa penye amani na usalama kuliko shibe penye shari na uhatarishi
 
Rudini makwenu.

Mambo mengine mnajitakia.

Huko hakufai hata kidogo.
 
Hili lililokukuta linaogopesha. Ushauli wang ni bora ungehamia mji mungine mana pengine waliokukimbiza bado wanakufuatilia kimya kimya na one day watakupata tu japo siombei iwe ivyo.
 
Hiyo nchi ni hatari san na anaefanikiwa kuishi huko basi hapa bongo anaweza kuishi popote bila hofu.

Pole kwa madhila yaliokukuta mkuu
Wala haujakosea mkuu. Maisha tunayoishi hapa ni ya vita, ndomana tukisikia eti kijana wa miaka 19 anaeitwa Ali Dangote kafunga mtaa na kuanza kuingia nyumba moja moja kuchinja watu huku anaangaliwa huwa tunacheka sana.
 
We rudi nyumbani kwanin ufe bado mdogo!!?


Hela na stress za kifo Zina utam gani!?njoo use chinga huku!!!
 
Ulichoongea kina ukweli wa 100% mkuu, maana hata unapotoka hizo sura unazokutana nazo zinakupa sign fulani kichwani.

Sema ndo hivyo sisi hatukuwa na chochote ndomaana sikuwa na wasi wasi wowote wa kuondoka pale usiku as long as najijua nipo na usafiri wa kunifikisha nyumban muda wowote.
 
Hili lililokukuta linaogopesha. Ushauli wang ni bora ungehamia mji mungine mana pengine waliokukimbiza bado wanakufuatilia kimya kimya na one day watakupata tu japo siombei iwe ivyo.
Asante kwa ushauri chanya mkuu. Na hili watu wengi wakiwemo ndugu na marafiki mbali mbali wamenishauri.

Hivyo nitalifanyia kazi.
 
Mkuu vp kwani mleta uzi alikulazimisha usome, au umekimbilia kusoma mwenyewe na kuanza kutoa lawama kwake bila sababu?
Hata na mimi nimemshangaa jamaa kwa kunishambulia bila sababu. Yeye alikuwa ashatoa ushauri wake unatosha.

Sasa mambo ya kunishambulia sijui yalitoka wapi na wakati hatujuani na hafahamu sababu za mimi kuendelea kuishi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…