Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

kufa ni constant hata iweje ni lazima kufa kuwepo maisha tofauti na ulimwengu huu hayawezekaniki kwa binadamu labda kutembea tu huko Mars
Kama kufa ni constant kwanini sisi tunashughulika na kifo wenzetu maisha?.
Usiseme tu kuishi Mars haiwezekani,babu yako aliekufa miaka ya 50 ungemwambia inawezekana kuwasilisha kwa Zoom kwa mtu aliyeko Australia angekuamini?
 
Kama kufa ni constant kwanini sisi tunashughulika na kifo wenzetu maisha?.
Usiseme tu kuishi Mars haiwezekani,babu yako aliekufa miaka ya 50 ungemwambia inawezekana kuwasilisha kwa Zoom kwa mtu aliyeko Australia angekuamini?
Hiyo tekinilojia ya mawasiliano kamwe usifananishe na maisha ya kuishi sayari tofauti na hii! Ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Man... hichi ulichoandika hapa kuhusu hiyo Future ume-probe tuu au unazo valid refferences..??

Hii issue ya Vita... mara watu kwenda Mars sijui kujenga makazi mapya then wang'ang'anie kirudi tena Duniani wewe umeitoa wapi...??
 
DNA inachukuliwa kutoka kwenye mabaki yake ili kuliproduce mwili tena.
[emoji23][emoji23] Bro... seriously..?? Kwa Tech gani..??

Sikia... kitu kimoja kikipotea kwenye Mwili wa mtu basi huyo kwisha habari yake.... na hicho ni "Counsciousness"... lakini mbaya zaidi huwezi kuihamisha kutoka One body kwenda another body... haiwezekani kabisa. DNA zinabeba taarifa ya utendaji kazi wa Mwili tuu kiasi seli ikizaliwa inajua majukumu yake ni yapi.. ila hapo kutumia DNA kuzalisha kiumbe kilekile kilichokufa ni impossible.
 
Hakika umenena kweli tupu,big up
 
Itawezekana lakini ni mpaka pale kutakapo kuwepo na "one world government".
 
Hao microbes wanaitwa hyperthermophile microbes.
hyperthermohile hao wanaishi kwe extreme temperatures, kuna wale wanaishi kwe extreme radiations wale ndo kuna uwezekano wa kuwapo mars maana mars kuna kiwango kikubwa sn cha radiations, hawa bacteria wamewahi kutwa kule chernobyl ukraine lilipotokeaga janga la kinu cha nuclear kuzingua ila wao walikuwepo wanaenjoy life km kawa
 
Hakika umenena kweli tupu,big up
Watu mnajua sana kuliwazana,sasa ni hivi,Binadamu afanye atakachokifanya ila atambue tu "KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI",Hzo mission za sijui kuishi milele au sijui kupunguza watu mara kwenda kuishi angani,aisee hzo ni juhudi tu za binadamu kuukwepa ukweli halisi kwamba ipo siku atakata kauli atafukiwa chini ya udongo na baada ya muda atasahaulika kbs kama alikuwepo.

Mtoa mada wewe endelea kutazama movie sana maana unaonekana upo addicted sn na finctions ila tambua tu huyo aliyetuleta kupitia shahawa na yai la mama anasema Hakuna kinachopumua kikabaki hapa duniani,Kila kilichoumbwa kitakufa na kwake tutarejea ili tuambiwe yote tuliyokuwa tukiyafanya.Kuishi milele duniani au mars haipo kwenye mpango wa Muumbaji.

Haya maendeleo ya technology yapo na hatukatai ila ile kanuni ya binadamu kuonja umauti iko pale pale mkuu wala usijiliwaze kupitia akina Elon msk na hzo movie zako,ziko mission mzungu atafanikiwa ila kuna mission zitabaki hivyohivyo kuwa mission hazitafanikiwa kabisa ikiwemo hiyo ishu ya kuishi milele duniani au ktk sayar yyte hapa ulimwenguni.

Hzo ni juhudi tu za kibinadamu kwamba anataka afikie pale au iwe vile,Kufa ni lazima mzee wewe mwenyewe hapo huna hata uhakika wa kuwepo dakika 30 zijazo
 
Hakika umenena kweli tupu,big up
Watu mnajua sana kuliwazana,sasa ni hivi,Binadamu afanye atakachokifanya ila atambue tu "KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI",Hzo mission za sijui kuishi milele au sijui kupunguza watu mara kwenda kuishi angani,aisee hzo ni juhudi tu za binadamu kuukwepa ukweli halisi kwamba ipo siku atakata kauli atafukiwa chini ya udongo na huku na baada ya muda atasahaulika kbs kama alikuwepo.

Mtoa mada wewe endelea kutazama movie sana maana unaonekana upo addicted sn na finctions ila tambua tu huyo aliyetuleta kupitia shahawa anasema Hakuna kinachopumua kikabaki hapa duniani,sote tutakufa na kwake tutarejea ili tuambiwe yote tuliyokuwa tukiyafanya.

Haya maendeleo ya technology yapo na hatukatai ila ile kanuni ya binadamu kuonja umauti iko pale pale mkuu wala usijiliwaze kupitia akina Elon msk na hzo movie,Hzo ni juhudi tu za kibinadamu kwamba anataka afikie pale au iwe vile,Kufa ni mzee wewe mwenyewe hapo huna hata uhakika wa kuwepo dakika 30 zijazo
 
huo ni mtazamo wako tu, watu walioishi enzi za agano la kale ungewaambia kama binadamu atatengeneza chombo cha kumfikisha mwezini wangeona kama una ugonjwa wa akili, watu wa zamani walipoambiwa dunia ndo inazunguka jua na si kinyume chake jamii nzima ilipinga na jamaa akaambiwa anakufuru so we si wa kwanza kupinga nadharia kama hizi watu walishafanya enzi hizo kabla hata yesu hajazaliwa, uzuri hata saizi tunajadili haya mambo kupitia devices ambazo ni kazi za haohao wanasayansi ambao unapinga nadharia zao hahaha
 
achana nae ana upeo mdogo Kama wale wafia Dini waliompiga Pini Galilei Galileo alipobuni darubini upeo na kugundua miezi nane ya sayari Jupiter na Dunia duara

Wale wapuuzi wakabisha mpaka wakamfungia Ndani asitoke nje et kakafuru na Kawa mwendawazimu,hao watu ndio Hawa Sasa wa kizazi kipya wenzao wapo project ya kutengeneza na kugundua vyombo vya kwenda anga za juu yeye kakaa kijiweni anakunywa Alkasus mujarab atengeneze nguvu za kiume!
 
Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
 
Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
usidhani kitu kilicho nje ya upeo wako na unaona hakiwezekani kwako Kwa wengine pia kinawashinda broo unakosea Sana watu wapo site wanapiga field wewe upo nyuma ya keyboard unapiga soga!

What the difference!
 
Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
huyu mwamba ni vigumu kuelewa halafu anajikuta mjuaji utadhani yeye ndiye mfanya tafiti.
 
usidhani kitu kilicho nje ya upeo wako na unaona hakiwezekani kwako Kwa wengine pia kinawashinda broo unakosea Sana watu wapo site wanapiga field wewe upo nyuma ya keyboard unapiga soga!
What the difference!
Vipi kwa upeo wako wewe?
 
Issue ya atmosphere itakuwa ni permanent. Hypothetically speaking, introduction ya microbial life forms kama algae na bacteria itasaidia ardhi ya mars kuretain joto hivyo kupasha atmosphere yake na kuifanya rafiki kwa wanadamu.

Lengo kitakuwa kutengeneza technology itakayo-speed up this process. So nadhani equipment failure kwa terra-forming itasababisha delay rather than fatalities mkuu.
 
Hali ya hiyo katika kusupport microbe huoni iko limited na itachangia low population kwa viumbe hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…