Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Ukweli mchungu! Ngojea wenye waliokufa msalabani na kumuona mola waje watakutoboa.

Ila huu ndiyo ukweli mchachu kuwa wanatuzuga lakini mwisho remote controlled project itabeba watu na kutupia wengine sayari za raha na wengine kutupwa Jupiter au Pluto karibu na jua kaliiiili mjue kuwa tayari mmefika kuzimu 😂😂😂💀
 
Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
ikishatekelezeka ndio tutajua kuwa inatekelezeka ila kama bado hatuwez jua km inawezekana ama la ndio maana nkakupa mfano wa kwenda mwezini watu walioishi enzi za yesu wangeweza uliza hivyohivyo kuwa kwenda mwezin inawezekanaje, unajua kabla sifuri haijagundulika hisabati ilikuwa duni sana na haikuwahi fikirika km hisabati ingefikia hivi ilivyo leo but sifuri namba ya mwsho kabisa kugundulika ilibadili everything kwe medani za sayansi na hesabu, katika sayansi tunavyovifahamu ni vichache sana kuliko tusivyovifahamu ndugu
 
Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
Hii time travelling inatimia siyo zaidi ya 2050 angalia pambano la global connectivity kupitia mpango wa 5-6G internet speeds. Hii 5, au 6+G na kuendelea inalenga kupeleka watu mitaa ya duniani yenye yako na mateso, au miji/majiji yenye raha au mtaani kwako penye shida.

Ndiyo itakuja tube tunnels (barabara za kufanya time travelling kufanikiwa) zenye mitandao ya internet yenye nguvu na kasi za ajabu.

Usidhanie kuwa watafiti wanakutengenezea wewe mwarabu mweusi was Dubai hizo sijui 5-6G+ ili uwasiliane na mchepuko wako hiyo never.
 
possible mkuu
 
Mimi kinacho nifikirisha ni namna ya ufanyaji kazi wake hapo ndo kuna maswali mengi embu fikiria ikifanikiwa tunaweza ku kuiandika upya history ikiwezekana hata kuiepuka vita ya kwanza na ya pili ya dunia, kuepuka vifo vilivyotokana na ajali mfano titanic, we huoni kama ni mambo ya spiritual na sio science tena.
 
Unajua ufanyaji kazi wa time travelling lakini we unafikir inawezekana kurudi nyuma kuongea na babu wa babu yako aliyefariki mwaka 1960
 
Unajua ufanyaji kazi wa time travelling lakini we unafikir inawezekana kurudi nyuma kuongea na babu wa babu yako aliyefariki mwaka 1960
taratibu mkuu, kwanza time si constant km unavyofikiri time inaweza ikaathiriwa na gravity pamoja na speed, hapo ndipo shughuli nzima inapoanzia
 
Kwahiyo jibu lako ni ndiyo au hapana?
taratibu kaka, jifunze kwanza time ni nn, vitu gani vinaweza kuathiri time na kwa namna gani then unaweza kuielewa issue husika kwa namna nzuri kabisa, kuhusu ndio au hapana niseme tu kulingana na kanuni za physics zinazojulikana mpk sasa time travel to the future possible km tunaweza pata breakthrough kwe issue ya speed kufikia speed ya light au zaidi but back in time kwa sasa inabreak baadhi ya kanuni, so kwa mtazamo wangu ni heri kusema haijulikan/haifahamiki kuliko kusema haiwezekan maana kila siku watu wanagundua mambo mapya, ila tu fahamu time inawezaathirika mkuu
 
Yote kwa yote inavyo onekana wewe ni mtu wa porojo .
Kumbuka kuwa kinachoendesha treni sio honi yenye mikelele ila ni ingini.
Watu kama nyie hata basic ya programming hamna , ila kutengeneza hadithi zenu za Alfu lela ulela mpo vizuri.

Piga sarakasi zako zote na misambaa isiyo na idadi ila tambua utakufa na utakutanae unamletea kujua na atakuonesha haujui
 
Duuh, utabiri wa nabii tito. Unless ikiwa muvi itafaa zaidi
 
Ukisemacho chief una fact, itakuwa ngumu mtu kukupinga kwani iko wazi Elon amedhamiria sana hii issue.. na ukiangalia ni kweli kwa mambo yanavoenda hivi sasa migogoro, vita, na fujo za kimaendeleo, ila kama Elon akifanikiwa hili basi tena uyasemayo huenda yakawa.
 
Kitu ninachoweza kukubaliana na wewe kwenye hili swala labda kama uta travel kwenda future basi iwe ni wewe ndo umetangulia kwa mfano uwe na uwezo wa kutoka hapa tz kwenda marekani kwa hiyo spidi ya mwanga kama ulishaangalia series ya flash basi ndo hicho kitu namaanisha lakini sio kwamba utatoka hapa ufike mwaka 2050 ukute jamii nyingine yenye maendeleo tofauti na iliyoyasasa.
 
In Fact in the near future utaweza kuwasiliana na babu wa babu yako ambaye hukuwahi kumuona katika uhai wake. Sio utani kuna research za hatari zinafanyika,yajayo yana furahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…