Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

kuna mtangazaji wao anapenda kuwafokea sana wanaopiga simu kutuma lasamu ile alfajiri utasikia wewe ni mama nani... alafu unakuta ni mwanaume kapiga simu dah
 
Fre
Fredy Bundala(Skywalker) now anamiliki online TV inaitwa Simulizi na Sauti...
 
Kilichoua media nyingi ni walaji kuhamia mitandaoni.

Hapa nilipo nina miaka 5 sijasililiza redio ila mambo yote ambayo ningeyapata redioni nayapata kwenye simu.

Ajabu ni kwamba hadi vijijini watu hawana hamu na radio kabisa.

Angalia magazeti yalivyododa
 
Kwa mfano ukitune redio utasikiliza nini?

Kiufupi redio zitapata nafuu siku Internet ikifa
 
Mzee samadu Hassan rip
Jacob usungu
Deo kaji makomba(kwa sasa reporter wa dw)
Fatma shemweta
Husna mlanzi rip
Glory Robinson
Roy maganga
Prince baina kamukuru
Jacob Markus
 
Mzee samadu Hassan rip
Jacob usungu
Deo kaji makomba(kwa sasa reporter wa dw)
Fatma shemweta
Husna mlanzi rip
Glory Robinson
Roy maganga
Prince baina kamukuru
Jacob Markus
Jacob Marcus yuko wapi siku hizi?
 
Naona bado hawajajirekebisha kwenye hili, haswa upande wa TV.
Star TV imejaa u-ccm mpaka inakera.
Hata kama wanawalipa muwe na kiasi, mjue mna watazamaji wasio washabiki wa siasa pia wa vyama vingine.
 
Mzee samadu Hassan rip
Jacob usungu
Deo kaji makomba(kwa sasa reporter wa dw)
Fatma shemweta
Husna mlanzi rip
Glory Robinson
Roy maganga
Prince baina kamukuru
Jacob Markus
Du Samadu Hassan kumbe ka-RIP? alikuwa na sauti nzito flani sawa na Charles Machugu upande wa star tv
Roy maganga na sauti flani hv sijui niseme ya kubembeleza au vp
 
Wamefulia sana, ukilinganisha na miaka ya zamani. Sasa hivi RFA hata kushika muda mwingine haiishiki na inaweza kwenda hadi masaa kwa sisi wasikilizaji wa mikoani
 
RFA inabebwa na radio washirika BBC Swahili, DW, VOA, ukiziondoa radio washirika, hakuna anaesikiliza RFA
 
Vyombo vya Habari vyenye mrengo wa kisiasa vinakufa
Kwa sababu sisi wananchi tunataka Habari zilizo balanced ili tujue ukweli tutoe maamuzi

Hawa maccm wanadhani wakihodhi vyombo vya Habari wataweza kuhodhi akili zetu wote kitu ambacho hakiwezekani ni swala la muda tu

Hii imepelekea vyombo vya Habari chawa kupoteza wasikizani na mapato
Hata hivyo zama hizi hatutegemei vyomba vya Habari vya ndani kupata Habari za ukweli

Nina zaidi ya miaka 5 sijasikiliza radio Tbc,,Clouds One na free Africa
 
Kwani saivi Tanzania tuna Radio,!! Au Vijewe vya kuchezesha Kamari...
Rubbishh 🚮🚮🚮
 
Wewe lazima ulikua mfanyakazi RFA, ukweli ni kwamba Radio zote zimejaa siasa hapa Tanzania hazina vipindi vya kujenga vijana zaidi ya uchawa michezo na miziki, radio free Africa alibweteka sanaa ndo kushuka kwake.
Kweli. Media yoyote kubwa nchini lazima kujiegesha kwenye siasa ili kufaidika na mfumo unaokuwa madarakani. Labda media changa au ndogo isiyo na jina kubwa ndiyo inaweza kuwa haina uchawa kisiasa lakini nayo ikishakuwa ugeuka chawa.
 
Wewe lazima ulikua mfanyakazi RFA, ukweli ni kwamba Radio zote zimejaa siasa hapa Tanzania hazina vipindi vya kujenga vijana zaidi ya uchawa michezo na miziki, radio free Africa alibweteka sanaa ndo kushuka kwake.
Biashara ni watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…