Pre GE2025 Jinsi Rais Samia alivyomsaidia Lissu kutoka mafichoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi,ukimfikiria huyo atakuelewa kweli?
 
Punguza kujikomba kwa mtu asiyekufahamu Wala kukujua. Eti Samiah kamuinua Lissu. Shida ya watoto wa juzi bwana, Lissu yupo Tangu 1994, na 1995 aligombea ubunge Singida kupitia NCCR Mageuzi. Sijui huyo mama yako alikuwa wapi kipindi hicho.
 
Umeandika maneno mengi lakini PUMBA tupu. Sasa Makonda alikuwa anafanya siasa au comedy? Yaani ujinga wa kuingia na mkokoteni unaona ni kitu cha maana?

Hivi nyingi watu humo vichwani mwenu mna akili au kamasi tu zimejaa?
Hata mimi nimeshangaa kweli viongozi wa chadema ambao tumeshuhudia ni wajengaji wa hoja wazuri ndio wamuogope Makonda! Kwa lipi?
 
Dudumizi, suala moja la msingi umeliibua lakini hukutaka kuliendeleza. Umeeleza kwa usahihi kitendo cha kishujaa cha Rais Samia kuruhusu siasa za barabarani na majukwaani kwa vyama vya kisiasa.
Mimi nataka ulijibu baraza hili swali moja tu kutokana na hoja yako hii..

Kwamba, ni Samia au katiba na sheria zetu ndizo zinazoruhusu shughuli za kisiasa?
 
Mimi nataka ulijibu baraza hili swali moja tu kutokana na hoja yako hii..

Kwamba, ni Samia au katiba na sheria zetu ndizo zinazoruhusu shughuli za kisiasa?
Katiba na sheria. Hilo liko wazi lakini bila ridhaa ya Rais utekelezaji wake unakuwa mgumu. Usisahau kabla ya ridhaa ya Rais Samia siasa za barabarani na majukwaani kwa upande wa vyama vya upinzani zilikuwa zimefifia kwa sababu moja au nyingine.
 
Katiba na sheria.
Very good☑☑, umejibu vyema...!
Hilo liko wazi lakini bila ridhaa ya Rais utekelezaji wake unakuwa mgumu.
Why and how? Kwa hiyo una maana Rais yuko juu ya sheria? Na katiba inasemaje kuhusu ukuu wa katiba kwa kila mtu akiwemo Rais?
Usisahau kabla ya ridhaa ya Rais Samia siasa za barabarani na majukwaani kwa upande wa vyama vya upinzani zilikuwa zimefifia kwa sababu moja au nyingine.
Kwanini zilififia?

Na Rais atoe ridhaa akiwa kama nani?

Mbona umejibu vizuri tu hili hapo juu kuwa Sheria na katiba zipo juu ya mtu yeyote?

Mbona unaji - contract mwenyewe?

Kwani kuna ubaya gani ukikiri tu kuwa "...Ni kweli yule Rais aliyepiga marufuku shughuli za kisiasa za vyama visivyo serikalini (vya upinzani) kinyume cha sheria na katiba alifanya makosa na alivunja katiba na sheria ya nchi..."

Mimi najiuliza swali hili:

Kwamba, nyie mnaoukwepa kuuelewa na kisha kuusema ukweli huu inakuwa ni ujinga (ignorance) au ndio uchawa na ududu wenyewe huu?
 
Sio uchawa au lolote. Ukisoma vizuri katiba upo mzizi uliojichimbia chini zaidi kuliko mhimili wa Mahakama au Bunge. Rejea hata rasimu ya Warioba lakini aliishia njiani.
 
Lissu hakwepeki , hiyo picha ya kwanza nimeipenda hasa, ni picha halisi ya Ukombozi
 
Sio uchawa au lolote. Ukisoma vizuri katiba upo mzizi uliojichimbia chini zaidi kuliko mhimili wa Mahakama au Bunge. Rejea hata rasimu ya Warioba lakini aliishia njiani.
Hili kila mtu analijua na ndiyo maana tunapigania mfumo mpya wa kikatiba na kisheria ili kuyaweka sawa hayo..

Hata hivyo hoja yangu kwako unayokwepa kuijibu ilikuwa ni hii👇🏻

Kwani kuna ubaya gani ukikiri tu kuwa "...Ni kweli yule Rais (Hayati John P. Magufuli) aliyepiga marufuku shughuli halali za kisiasa kisheria na kikatiba za vyama visivyo serikalini (vya upinzani) kinyume cha sheria na katiba na zuio hilo haramu kikatiba kuendelezwa na mrithi wake Samia Suluhu Hassan alifanya makosa na alivunja katiba na sheria ya nchi...?"

Ukikubali hili tu, basi nitauona uungwana na uelewa wako na tutasonga mbele vyema ktk mjadala huu..

Ni hilo tu..
 
Kwamba hayo mambo binafsi ndo yawe msingi wa haki kwa Watabnzania wote?
 
Kwisha habari yake
 
Unalinganisha siasa na FUTUHI wewe ni mpenzi wa futuhi
 
M
Mhhhh
 
Huna uelewa mwandishi unapotosha...Kuandaa mkutano mmoja wa hadhara kwa CCM ni mtiti...CHADEMA ni sekunde tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…