Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Kwa nini unataka wateseke?
 
Naona baada ya mdukuzi kuamka na pis zao bro ukaamua uamke na uchumi wao.
 
Mmekalia Rwanda Rwanda wenzenu wanapiga hatua. Mtabakia hivyo hivyo na ujinga wenu.
Rwanda gani mkuu inayopiga hatua??
Rwanda iko na biased economy,yani maendeleo ya kujitenga ama kujibagua,maendeleo yanakitwa sana Kigali ila maeneo mengine haba.
*Kukuta hospitali sawa na hospitali ya rufaa Kigali mikoa mingine ni uongo.
*Food security hakuna.
*Huduma zinginezo za kijamii hazijakitwa kwa wingi kama hapa Tanzania.
Hivi unaamini bro madaktari wa Rwanda wanakuja kufunzwa Tanzania ubobezi kila mwaka!??
Na hospitali zao kuu za kujifunzia Mloganzila na Bugando.
 
Mkuu RWANDA kinachoipa KIburi ni rais wao yupo pale kimkakati akifanya Kaz kama wakala mkuu wa usimamizi wa magenge ya kihalifu Congo.. amefanya hivyo Kwa MIAKA 30 Sasa..uchumi wao ni biased kama ulivyosema. Amewekeza Zaid mjini..ndio maana licha ya udogo wake, Kigali Ina zaidi ya watu million 1.2.. miundo mbinu haba na huduma za jamii hafifu.mtandao wa barabara za lami ni mdogo sana huku sehem kubwa ya Rwanda ni vilima tu...mabonde mengi yamejaa wafugaji na WAUZA maziwa. Mazao kama vile pareto , mahindi japo siyo sana, na mpunga, mihogo , chai na karafuu wanajitahidi lkn hakuna LARGE SCALE FARMING .. mazao mengi yanatoka Kwa wakulima wadogo. Hii ni kutokana udogo wa eneo..
 
Kagame ana timu nzuri sana ya propaganda
Rwanda huwa hakuna uchaguzi bali maigizo tu,wanapiga oicha sehenu nzuribanabinti warembo wanapost mtandaoni ila uchumi wao ni mgumu sana
 
Kagame ana timu nzuri sana ya propaganda
Rwanda huwa hakuna uchaguzi bali maigizo tu,wanapiga oicha sehenu nzuribanabinti warembo wanapost mtandaoni ila uchumi wao ni mgumu sana
Ardhi yenye eneo la kilimo la km 1.6 million itafanya Nini kulisha populated area? Muda mwingine tunawaoverate as if hatuwalishi Kwa vitu vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…