Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha bas mkuu.
Mama Samia anakagua ndege!?
Hiyo habari sina,ndege au mabasi ya jeshi??
 
Niko na wewe lakini jeshi pia halihitaji mabus tuπŸ˜„

Nilicho ongelea hatua ya kagame kulijenga jeshi la Rwanda inatisha siku za mbele asije kuwa na Air force ikawa inamzidi Tanzani. Hio mizinga ya saba saba mitatu itasaidia nini mbele ya safari.
 
Daaah jamaa unazingua eti mizinga ya sabasaba mitatu.πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo mama samia mpumzisheni hii nchi ishamshinda.
No comment kwa huyo mama.
 
Nauli ni kiasi gani kwa from Dar au Kigoma bus.. nataka niivisit kwa siku kadhaa nitembee tu mitaani niimalize Kigari yote.. hint muhimu sehemu ambazo sio salama kuvist tafadhari
 
Nauli ni kiasi gani kwa from Dar au Kigoma bus.. nataka niivisit kwa siku kadhaa nitembee tu mitaani niimalize Kigari yote.. hint muhimu sehemu ambazo sio salama kuvist tafadhari
Tsh. 81k mpaka 85k
 
Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitajika.
 
Mbona ukigoogle unapata kila kitu. Kwa vifaa wametuzidi ila jeshi letu kubwa Sana. Vifaa vinanunuliwa tu vikihitaji.
 
Kitu kizuri rwanda ni wanawake,ng'ombe na wifi baadhi ya mitaa ya kigali basiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…