Mkuu hapa huwa siyo setting ya camera kufanya tundu ila huwa ni real VX inatengenezwa alafu kamera inarekodi kisha inaingizwa kwenye komputa kwa ajili ya kuiboresha na kuitumia.Kwenye Cinematography Camera ...
Hua nashindwa kuelewa wanaseti vipi Camera hadi zinaonyesha sehemu nyemba na ndogo kama vile tundu, Bomba nk
Ahsante kwa kunijuza maana nilikua natazama series ya Breaking bad na Better call saul nikawa najiuliza sana wanawezaje kuonyesha ndani ya kitu ambacho unaona kabisa kamera haiwezi kuingiza na kuonyesha vizuri.Mkuu hapa huwa siyo setting ya camera kufanya tundu ila huwa ni real VX inatengenezwa alafu kamera inarekodi kisha inaingizwa kwenye komputa kwa ajili ya kuiboresha na kuitumia.
Bundles zingekuwa haziliwi kama hapo nyuma ningekuwekea Hits videos uone jinsi tunavyofanya hayo madude!.Ahsante kwa kunijuza maana nilikua natazama series ya Breaking bad na Better call saul nikawa najiuliza sana wanawezaje kuonyesha ndani ya kitu ambacho unaona kabisa kamera haiwezi kuingiza na kuonyesha vizuri.
How they do it?
Hongera sana mkuu, Kazi nzuri!
Jinsi teknolojia ya Motion
capture inavyofanya kazi
kwenye utengenezaji wa filamu.
Isikilize na uitazame kwa njia ya sauti.
Credits: Davinci View attachment 2125494
Shukrani kwako pia mkuu.Hongera sana mkuu, Kazi nzuri!
All the best [emoji3577]
brother asante kwa aya madini, huku bongo muvi wanaashoot na camera moja tuKwenye Cinematography Camera hua zinasetiwa kila upande hii husaidia kupata picha ya kila engo, lakini pia kuna jinsi ya kuchagua lenses na Camera za kutokana na aina ya Resolution atakayopenda Director. Halafu huku kwetu Director ndio huyo huyo anayeshika Camera wakati ni kazi ya Cinematographer.
Hua nashindwa kuelewa wanaseti vipi Camera hadi zinaonyesha sehemu nyemba na ndogo kama vile tundu, Bomba nk
Uliza tu comrade.Upo kwenye Industry hii?? Nataka kuuliza maswali mate.
Pia kama zipo docs za maandishi nipatie napenda kujisomea zaidi
Kwa maana ya msingi zaidi naweza kusema Director ni meneja mbunifu, wadau na wakuu wote wa idara umtegemeza yeye ili kuunda wazo na umoja katika nyanja zote mbalimbali za utengenezaji wa sinema.Je Kwanini Director ndio hua credited and praised kua Katengeneza muvi nzuri wakati ni Screenwriter anaepangilia maongezi, matukio nk?? Why???
Kama ni hivyo basi kwanini Screenwriter asiwe director yeye mwenyewe yaani kipengele cha Director wakiondoe. Maana Muvi hua ni wazo la ScreenwriterSWALI ZURI.
Kwa maana ya msingi zaidi naweza kusema Director ni meneja mbunifu, wadau na wakuu wote wa idara umtegemeza yeye ili kuunda wazo na umoja katika nyanja zote mbalimbali za utengenezaji wa sinema.
Director had influences more of the finished product than the writer, so the director is more important than other.
Mkuu tutakuwa na ma director wangapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (Jokes Mkuu)Kama ni hivyo basi kwanini Screenwriter asiwe director yeye mwenyewe yaani kipengele cha Director wakiondoe. Maana Muvi hua ni wazo la Screenwriter
Thanks owa mchango wako niliwahi kulizungumzia hili huko nyuma..Martin Scorsese kwny The IRISHMAN 2019 alitumia technology ya De-aging VFX,akishoot kwa hii kwa camera
View attachment 2126623
kweny hii movie tunapata kuona the way technology ya de-aging ilivyoweza kuwafanya JOE PESCI,AL PACINO,NA ROBERT DE NIRo.,wakiwa katika mionekano ya ujana na uzee...
yah!!ni tofauti na mfumo unatumika kwny movie tulizozizoea......!!walio iona benjamin button watakua wameelewa
View attachment 2126647
Huyu ni JOE Pesci(ukicheki home alone utamuona huyu mwamba au moon walker by MJ anamiaka 79)
View attachment 2126654
ROBERT DE NIRO miaka 78 lakini humu ndani kuna hadi muoneko wake wa mwaka 1976 "ule wa kwny muvi ya taxi"
View attachment 2126660
AL PACINO miaka 78 .
SO hii pia ni De-aging VFX tech ila hii wakat wa set haiitaji marker point!!
Yeap mate some knowledge in order to have them to burst your ass coz nobody is gonna teach you.
Kuna hii technology ya digital de-aging inatumika VFX pia kubadirsha sura ya mtu mzee anaonekana kijana.
View attachment 2094087View attachment 2094088
Lakini kuna wengine utawaona kwenye muvi ukadhani ni VFX kumbe ni make up imefanyika. Watu wana vipaji asee. Kama night king wa game of thrones ni macho yake tu ndio yalifanyiwa VFX ili yaonekane blue ila kila kilichobaki ni Make Up!View attachment 2094089
Nimeelewa sana ila nimejitoa ufahamu, umezungumzia kwann ktk kipengele a,b kisiondolewe kibakie b pekee Mkuu labda hujanielewa kwa kuwa sijajazia vzr maelezo mm nimechukulia kwa hapa Tanzania kati ya huyo muongoza filamu na mwandishi wa filamu ndio mana nikaja ni ujinga wangu ukimfuta director na kazi hiyo ukampa mwandishi je kibongo bongo watakuwa wangapi ila nimesemA ni (joke)Sina imani kama umeelewa swali nililouliza...![emoji124]
Aisee Mkuu 'Da'Vinci" ukiniambia Gemini Man ni De-aging nzuri Kwako nitashindwa kukushangaa..na may be utakua umeichek kwny 720p 🙂🙂 haaha jokes!!Ila de-aging nzuri niliyoipenda ni ya Michael Douglas/Hank Pym Ant-Man, Will Smith/Gemini Man na Samuel L jackson/Nick Fury Captain Marvel.