Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Hio picha ya mwisho sio ya kuchorwa kwenye computer. Imechorwa kawaida tu ila mchoraji ndio alikuwa hatari.

Hio ya huyo bibi wa coco sio picha ya kuchorwa bali ni picha ya mtu halisi (huyo bibi ni mmexico walitumia picha yake halisi )
 
Hilo jicho kama la ukweli.
Inaonekana miaka ijayo waigizaji hawaitajika tena itakuwa ni cabinet inakaa tu ndani wanatengeneza characters wao kwa kutumoa software alaf movie inatengenezwa.
 
Ahsante kwa maelezo yako bro. Youtube,Insta na Twitter ni vitu vimenishinda kutumia...FB kiasi naingia marachache kutazama fan Pages za Marvel.
Sorry for late reply sipo sana online wiki hii, siipendi kufunya vitu vya kuunga unga kama nitajifunza vitu hivi basi itapidi niende darasani.
 
Umeutendea vyema uzi shukran mkuu vp huko u tube niserch kwa jina gani nipate hayo maujuzi
 
blessed!!mkuu

ukiandika tu blender 3d begginer,,zitakuja result nyingi tu na utachagua mwenyew chanel ip itakufaa,,!!video zko kibao na znaelezea fresh dot kwa dot from nothng to samthng!!!
Hivi kuna utofauti gani kati ya IMAX camera na Camera zingine??
 
Kikwazo kikubwa kinachotokea katika kubadirsha Background ya kijani kwenye filam au picha hua ni kivuli, Kivuli hua ni ngumu kukiondoa hasa kwa watu wanaotumia Low budget production maana hua kinaonekana kama doa/duara kubwa nyuma ya mtu. Ili kuondoa hilo kweye studio hua wanafanya setting ya Lighting ambayo inawezesha kuondoa Uzito/Weight ya kivuli ili kiwezwe kuondolewa kwa urahisi kwenye post-production.

Kama umeangalia Background photos nyingi hua hazina kivuli ajili ya Mataa walivyoyaseti.

NB: Picha hii haihusiani na swala la kivuli bali ni Animators wakitengeneza Animation film ya Spirit Untamed
 
ni rahisi kwa kusimulia tuu lakini kumbuka wanakaa site over 2years plus na kuandaa movie moja cost kwanzia 150m$
 
Tomo Cruise hua anaifanyia sura yake Digital De-aging in reale au ni vipi. Jamaa hazeeeki asee (ana miaka 59)
 
Oyaa mzigo wa doctor strange 2 uko torrentz teari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…