Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Duh ulivyomuattack utadhani yeye ndio amesema hayo? Hivi unaelewa maana ya CONSPIRACY kweli wewe?! Mbona alisema kabisa kama tunapenda conspiracy aendelee?Sasa tunakushangaa wewe unayemsema unafanywa mtoto wa darasa la nne alafu huelewi alichokisema doh, inafikirisha how knowledgeable you're mkuu.
 
Unahitaji utulivu kidogo kunielewa kama huna mind settlement huwezi.
 
Halafu wa Nigeria naona wanajitahidi pia mfano ile mobie ya Drum of War yule mama walivyomtengeneza upande mmoja wa uso kama kaharabika
 
Naija wako mbele kwenye vingi sana, Sisi huku bado tunatumia effects za ajabu ajabu kweli. Btw sijaangalia muda sana muvi za bongo
 
Unahitaji utulivu kidogo kunielewa kama huna mind settlement huwezi.
Yaani nisawa upwewe tahadhari kua pale kuna mbwa usipite halafu wewe upite kisha uanze kulaumu. Sasa hiyo mind settlement ni ya nini wakati nilikua nishasems kua wanaotaka niendelee na conspiracy waseme.

Tatizo unataka kutumia akili nyingi kwenye jambo la kawaida mwisho ww ndio unaonekana en stupido
 
Mi napinga sana uongo na ukasuku.
 
Basi ungekua una akili ungekosoa post #1. Umeshindwa ndio umekuja kutafuta tafuta huko.
Post no 1. Hakuna kipya. Ume copy and paste. Imetafsiriwa tu kwenye kiswahili so hapo hakukuwa na jipya kwa mtoa mada. Alikuwa tu hana cha kufanya akaamua atafsiri na kuja kubandika hapa so hakuna ambacho ni chake.
 
Nimekopi wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…