Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Sanaa imekutana na wasanii na technology hamna uongo wowote
 
jinematography maana yake nini ??
Na huku bongo kwetu mbona kwenye movies zao sionagi hili neno..?
Cinematographer ni mtu aayerekodi scenes zinazokua directed na director kutoka kwenye play husika. Kibongo bongo hua wanajiita "Kameramani"
 
Cinematographer ni mtu aayerekodi scenes zinazokua directed na director kutoka kwenye play husika. Kibongo bongo hua wanajiita "Kameramani"
Sawa sawa... Kumbe yee ni kushika camera tuu basi .?
 
Huwa napenda sana ubunifu unaofanyika katika cinematographic techniques. Na pia nazikubali movie ambazo scenes zake zimeshutiwa na hand held cameras....[emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518]
 
Post no 1. Hakuna kipya. Ume copy and paste. Imetafsiriwa tu kwenye kiswahili so hapo hakukuwa na jipya kwa mtoa mada. Alikuwa tu hana cha kufanya akaamua atafsiri na kuja kubandika hapa so hakuna ambacho ni chake.
Njoo na mpya zako mkuu,hili ni jukwaa huru.
 
Huwa napenda sana ubunifu unaofanyika katika cinematographic techniques. Na pia nazikubali movie ambazo scenes zake zimeshutiwa na hand held cameras....[emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518]
Ushaona zile scene ambazo labda ni racig halaf kameraman yupo kwenye kigari hivi. Aisee hua wanachoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…