Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

😁😁 Umenikumbusha mbali sana mkuu...
 
Mkuu ubalikiwe nimeongea kitu kipya
Umenifanya nikufuatilie toka kichwani cha mada yako mpaka hiyi comment ya mwisho bila kuchoka na sio kawaida toka nijiunge jf mi kaz yangu kusoma mada na kukoment basiiii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mpka Bongo movie wafike huku ni mbali sana
 
Mkuu ubalikiwe nimeongea kitu kipya
Umenifanya nikufuatilie toka kichwani cha mada yako mpaka hiyi comment ya mwisho bila kuchoka na sio kawaida toka nijiunge jf mi kaz yangu kusoma mada na kukoment basiiii[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
There's always first time for everything. Enjoy
 
Na wahindi nao wanatumia kitu gani maana wale jamaa ni noma.
Inapigwa risasi MTU anapiga kelele kumuita stering alafu jamaa yupo mbali anajiandaa,anapanda gari anapanda trecta risasi bado haijafika
Wabongo sio waongo ila hua wanaigiza vitu visivyo na uhalisia kwenye jamii hapo ndio tunawaona waongoView attachment 2095343
 
Na wahindi nao wanatumia kitu gani maana wale jamaa ni noma.
Inapigwa risasi MTU anapiga kelele kumuita stering alafu jamaa yupo mbali anajiandaa,anapanda gari anapanda trecta risasi bado haijafika
Wahindi wanakwama Sehemu moja hasa bajeti. Bajeti zao za muvi hua zinaishia kwenye kulipa waigizaji lakini pia wahindi walikua hawana uelewa na masuala ya VFX hadi kwenye miaka ya 2011 ndio wameanza kujitahidi. Sasa kuna ile mtu anapigwa kibao anaruka anaangukia gari lianapasuka pasuka. Hahahaa hiyo nadhani ni tone yao waliyoichagua na mara nyingi hizi hua ni zile za kutoka Southern India. Ila walishaona hizo muvi hazina soko kwa Internacional market angalau sasa hivi wanajitahi. Hebu angalia War ya Rhitik Roshan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…