Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Tulipokua wadogo tulikua tunachezesha midoli/vitoto mara nyingi hii inafanywa na watoto wa kike. Sasa teknolojia ya stop motion animation inatumia njia hio ya kucheza vimidoli na kuvirekodi sema wanafanyia kwenye blue/green screen baadae wanabadirisha mandhari kwa VFX huwezi kutofautisha kabisa na aina nyingine ya animation.

Kama uliwahi kutazama Muvi ya Kubo and the two strings basi ni mfano mzuri wa Stop motion animation. Hii ni behind the scenes yake
 
Cel shading
Ni mfumo kutengeneza animation katika mfumo wa 3D ambapo michoro hiyo huonekana flat. Mfumo huu wa kutengeneza animation hutumiaa kukopi picha kama inavyooneka kwenye vitabu vya comics. Series ya What If..? Kutoka marvel studio ni Mfano halisi wa technology hii.
 
Tukifika hapo wao watakuwa wameisha kuja na technology nyingne wenda ata movie zitakuwa zinaplay kwa mfumo wa holography
Ooh ndio tunaelekea huko kama ushatazama muvi katika mfumo IMAX 3D basi utaona hakuna tofaauti kubwa na holographic sight. Sema IMAX unatazama kwa Glasses
 
Hii ndio naisikia leo
Ok.
IMAX ni mfumo ambao unatumia camera maalumu,kumbi maalumu na Resolution kubwa katika kuonyesha muvi. Unapotazama muvi katika mfumo IMAX 3D unatakiwa kuvaa miwani maalumu ambazo zitakuonyesa kuona muvi usipovaa utaona mawenge macho matupu hayawezi kuona vizuri.

Sasa ukiwa unatazama kwa IMAX 3D watu hawaonenkani kwenye kioo/tv/au kwenye white board ya projector bali unaona watu wapo mbele yako wanapita na kuongea. Yaani inakua kama upo mbele ya waigizaji na sio kwenye tv. Wanaonekana kama hologram ila wakiwa kwenye 3D format, hii inakuwezesha kuona details ndogondogo ambazo kwa mfumo wa 2D huwezi kuona
 
v = u + at
v2 = u2 + 2as
s = ut +
1
/
2
at2
Besides these equations, there is one more equation that comes into play when we need to find the distance(or more correctly displacement) covered in the nth second. The equation is:

sn =
1
/
2
a (2n - 1)

Hizi ni baadhi ya equation zinazotumika kwenye utengenezaji wa Animation
 
Mkuu nimependa Uzi wako mim nitatoka nje kidogo kwenye swali langu ambalo litalenga kwenye movies hasa sex scene huwa sex kweli au changa la macho maana Nikiona movie Kama Spartacus huwa najiuliza maswali mengi Sana na vipi kuhusu muitikio wa actress kwenye scene hizi
 
Elimu ya kulipia kabisa iiii unaipta bure bless sana mkuuu

napenda sana ule uzi unaelezea maswala ya ntrovert kitu kama iko niliusomaga zamani sikumbuki ulipo ila somebody davinc kama ni wewe please naomba link
 
Inaitwaje iiii mkuu
 
Elimu ya kulipia kabisa iiii unaipta bure bless sana mkuuu
Mkuu unaweza lakini kunichangia kama hroho yako inakuambia unifanyie hivo😉
napenda sana ule uzi unaelezea maswala ya ntrovert kitu kama iko niliusomaga zamani sikumbuki ulipo ila somebody davinc kama ni wewe please naomba link
Mada hii hapa, maandishi ni mimi mwenyewe
 
Nyingi ni halisi na sio halisi maana scene za ngono hutengenezwa hivi...
  • Kama ni nudity scene basi mwigizaji mwenyewe anaweza akakubali kufanya hivo kwa malipo. Akilidhia yeye
  • Body double. Scene nyingi hutumia mtu mwingine kuigiza ila sura inaonekana ya muigizaji halisi. Eg. Scene ya Sansa Stark kwenye Game of thrones anabakwa na Ramsey ilifanyika body double
  • Scene zingine hua wanachukua wacheza porn kuzifanya, mfano Game of thrones wanawake wengi waliokua uchi as whore walikua ni wacheza porn
  • Scene nyingi kama kwenye Spartacus inafanyika VFX hua hawapo uchi bali wanatengenezwa kua wapo uchi. Waigizaji wengine hata kukiss kwenye uigizaji hawataki so body double inatumika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…