Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukifika hapo wao watakuwa wameisha kuja na technology nyingne wenda ata movie zitakuwa zinaplay kwa mfumo wa holographyTutafika one day, japo kwa kuchelewa sana. Si unaona simu kwetu ilikua anasa ila leo hii kila mtu anweza kumiliki simu
Ooh ndio tunaelekea huko kama ushatazama muvi katika mfumo IMAX 3D basi utaona hakuna tofaauti kubwa na holographic sight. Sema IMAX unatazama kwa GlassesTukifika hapo wao watakuwa wameisha kuja na technology nyingne wenda ata movie zitakuwa zinaplay kwa mfumo wa holography
Hii ndio naisikia leoOoh ndio tunaelekea huko kama ushatazama muvi katika mfumo IMAX 3D basi utaona hakuna tofaauti kubwa na holographic sight. Sema IMAX unatazama kwa Glasses
Ok.Hii ndio naisikia leo
Mkuu nimependa Uzi wako mim nitatoka nje kidogo kwenye swali langu ambalo litalenga kwenye movies hasa sex scene huwa sex kweli au changa la macho maana Nikiona movie Kama Spartacus huwa najiuliza maswali mengi Sana na vipi kuhusu muitikio wa actress kwenye scene hiziv = u + at
v2 = u2 + 2as
s = ut +
1
/
2
at2
Besides these equations, there is one more equation that comes into play when we need to find the distance(or more correctly displacement) covered in the nth second. The equation is:
sn =
1
/
2
a (2n - 1)
Hizi ni baadhi ya equation zinazotumika kwenye utengenezaji wa Animation
Inaitwaje iiii mkuuThanks for compliments pal✌️
Sio rahisi ndio na ni ghali hasa, pia inahitaji elimu. Mimi nimeeleza basic tu ili wale wasiojua wajue kinachoendelea nyuma ya pazia.
Hayo mataifa yote ukiyotaja bado sana maana hii teknlojia imeanzia kwa wazunhu. Ahindi anagalau wameanza kuijua jua VFX miaka ya 2010. Naweza sema inawezekana wameiwwka hii teknlojia original kwa ajili yao ili wasijiharibie soko la muvi maana china na India ndio masoko makubw hasa kwenye film.
Lakini kiukweli mchina bado sana kwenye utengenezaji wa muvi kwa kutumia
VFX at large ndio maana muvi zao ni za kawaida. Hata ukiangalia muvi zao zenye mauzo sana ni zile zilizotengenezwa bila matumizi makubwa ya VFX.
Ila nawapongeza wachina wapp Vizuri sana na wanakuja kwa kasi sana kwenye upande wa Animation, yaani wanajitahidi sana. Pixar na DreamWorks wajipange kushindana.
Kwa mfano ukiangalia hii muvi unaweza kujua ni watu real, kuanzia schematic hadi muonekano, yaani zile details ndogo ndogo ambazo mwanadamu anakua nazo kama vipele, vinyweleo, Kubabuka kwa ngozi nk unaviona kabisa.
View attachment 2095755View attachment 2095756View attachment 2095757
Mkuu unaweza lakini kunichangia kama hroho yako inakuambia unifanyie hivo😉Elimu ya kulipia kabisa iiii unaipta bure bless sana mkuuu
Mada hii hapa, maandishi ni mimi mwenyewenapenda sana ule uzi unaelezea maswala ya ntrovert kitu kama iko niliusomaga zamani sikumbuki ulipo ila somebody davinc kama ni wewe please naomba link
Nyingi ni halisi na sio halisi maana scene za ngono hutengenezwa hivi...Mkuu nimependa Uzi wako mim nitatoka nje kidogo kwenye swali langu ambalo litalenga kwenye movies hasa sex scene huwa sex kweli au changa la macho maana Nikiona movie Kama Spartacus huwa najiuliza maswali mengi Sana na vipi kuhusu muitikio wa actress kwenye scene hizi