Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Hii tech wakichukuliwa hawa waigizaji wetu sidhan kama wataweza
Maana mtu umepanda libox lakn unatakiwa uact kama umepanda faras kweli 😀😀😀
Ndio maana wenzetu wanapita shule kwanza, yaani bomu linalipuka inatakiwa uigize kama limekulipukia na wakati sio kweli lazima ikuchanganye kaa umezoea kuigiza huba
 
Hiyo Chroma Key nimewahi kuitumia kwenye editing zangu kadhaa.
 
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Ray una nini wewe?mnisamehe bure jmn yaani nikiupenda uzi nafatilia mpaka comment ya mwisho napenda sana Ku like
Haaaa ndio uniite hivo jamani mbele za watu😅
Upo vizuri kwenye kutoa like, bora ungenipatia hela tu
 
Naomba uibadirishe hii picha mkuu
Badirisha iwe vyovyote tu

Bado ni secret mkuu, labda unipe picha yenye background ya kijani halafu nikubadilishie background niirudishe.
 
Asante sana kaka nitaangalia hili swala la malipi teh teh tehe
 
Ulichokifanya hapa umefanya Photoshop/Photo Editing na sio Chrome key compositing maana hujaitoa background. Inatakiwa mazingira ya hapo aliposimama yabadirike kadri ya utakavyopenda yawe.
PS. Good try pal
Hapo kwenye huo ukijani huo mwanga unaharibu effect ya picha ndo maana nimeipiga black
 
Ulichokifanya hapa umefanya Photoshop/Photo Editing na sio Chrome key compositing maana hujaitoa background. Inatakiwa mazingira ya hapo aliposimama yabadirike kadri ya utakavyopenda yawe.
PS. Good try pal
Unazunguka sana mwambie ukweli, amepata 0/10...yaani hajui kazi ya blue/green screen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…