Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

Umeuona huo mkataba? unajua ni taratibu zipi hazikufuatwa? Je, TFF wametaja taratibu zilizokiukwa na Feisal?
TFF hawajatoa sababu bado ila mpaka wanatoa maamuzi ya awali it means wamejiridhisha kuwa utaratibu haukufuatwa na Feisal, nawao wapo kwaajili ya kusimamia taratibu hivo wanamrudisha kwenye mstari kuwa akafuate utaratibu.
 
TFF hawajatoa sababu bado ila mpaka wanatoa maamuzi ya awali it means wamejiridhisha kuwa utaratibu haukufuatwa na Feisal,
Kwaioa tutegemee uamuzi kamili maana huu umesema ni wa awali? kama wametoa ufafanuzi walishindwaje kuvitaja vipengele vilivyokiukwa?
 
Mshauri wake Jemedari unategemea nini hapo.
 
Cas wakiwa wanasubiri kutoa hukumu kulingana na kesi huweza kumpa mchezaji Uhuru Hadi hukumu ili asiaribu kipawa chake. Na hili swala Ni jepesi Sana Ni la mkataba. Tff haioni pa kumbana fei
Kwani kakatazwa kucheza Yanga au wew unataka akacheze wap
 
Wacha ujinga, sheria zipo vitabuni sio mapenzi kama unavyodhani.
 
Utopolo hawana haki yoyote kwenye hili, TFF nao ni wahuni wanaoibeba Yanga, na wale mashabiki wanaoitetea Yanga kwenye hili ni wajinga tu hawajui chochote, hili nitalisema siku zote mpaka mwisho wa dunia, wacha wanune.

Yanga walitakiwa waje na kipengele kingine kinachowabeba wao toka kwenye mkataba walioingia na Fei, lakini wako kimya, haya TFF nanyi semeni Fei amekiuka kipengele gani kwenye mkataba na Yanga, nao wako kimya, kwenye hali hii ni mjinga pekee atakaeendelea kuamini Yanga wana haki kwenye hili suala.

Siku zote hakuna mambo ya taratibu yaliyoko juu ya sheria, hizo taratibu ni mazoea tu, hazina uzito wowote wala hazimbani vyovyote atakaezikiuka, muhimu afanye kulingana na vipengele vya mkataba, nyie mnaoshikilia sababu za taratibu ni vihiyo, hamuijui sheria.
 
Kwaioa tutegemee uamuzi kamili maana huu umesema ni wa awali? kama wametoa ufafanuzi walishindwaje kuvitaja vipengele vilivyokiukwa?
Ushawah kuwa na kesi mahakaman? Siku waliyokusomea hukumu nakala ya hukumu ulipata siku hiyohiyo?
 
Si bora Dejan alikaa kwenye mkataba kuwa mashart ya mkataba hayakutekelezwa na kwa mujibu wamkataba waoasharti hayo yasipotekelezwa automatic mkataba unakuwa umevunjika?
Weka hayo masharti ya mkataba wa dejan na simba halafu weka mkataba wa fei n uto tuone
 
TFF hawajatoa sababu bado ila mpaka wanatoa maamuzi ya awali it means wamejiridhisha kuwa utaratibu haukufuatwa na Feisal, nawao wapo kwaajili ya kusimamia taratibu hivo wanamrudisha kwenye mstari kuwa akafuate utaratibu.
Utaratibu gani hebu tuwekeeni hapa pamoja na hivyo vifungu vya utaratibu tuone
 
TFF hawajatoa sababu bado ila mpaka wanatoa maamuzi ya awali it means wamejiridhisha kuwa utaratibu haukufuatwa na Feisal, nawao wapo kwaajili ya kusimamia taratibu hivo wanamrudisha kwenye mstari kuwa akafuate utaratibu.
We punguani hizo taratibu mbona hitajwi wala kutolewa ufanunuzi ? Mmekazia taratibu taratibu hebu ziwekeni hapa tuzione?
 
Ametoroka vipi? Mbona ameondoka officially kabisa kama mkataba unavyomtaka?
 
Kihuni kivipi? Si ameuvunja kihaki kama mkataba unavosema au?
 
We punguani hizo taratibu mbona hitajwi wala kutolewa ufanunuzi ? Mmekazia taratibu taratibu hebu ziwekeni hapa tuzione?
Mzee kuvunja mkataba sio sawa na kuamka kwenda kununua nazi mpemba
 
Kwa hiyo TFF haiongozwi na sheria na miongozo? Inaongozwa na hisia
 
Kwaio kumbe hukumu ishasomwa bado nakala tu? Msingi wa "HUKUMU" wamerejea kanuni gani au vipengere gani vya mkataba?
Basi nakala ya hukumu ikitoka ndo utaisoma then utaichukua na kwenda kuikatia rufaa au hilo nalo hujui?
 
Basi nakala ya hukumu ikitoka ndo utaisoma then utaichukua na kwenda kuikatia rufaa au hilo nalo hujui?
Hilo hata layman analijua ila wote tunakubaliana kuwa hatujui msingi wa maamuzi ya TFF
 
Mzee kuvunja mkataba sio sawa na kuamka kwenda kununua nazi mpemba
Sawa weka hizo taratibu na vifungu pamoja na huo mkataba wa fei full tusome tujue kakosea wapi na sio tuamini maneno ya kuambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…