Mwambie hiyo Mwanasheria wa Fei akupatieHaya walete wazi hivyo vipengele vingine vya mkataba ili tuone kosa la Fei toto.
Kwann wasitoe hvyo vingine ili tuchanganue, wanaficha au kuogopa nn?
Nipe mfano ndugu mjuajiProfesional Ziko nyingi tu ambazo mtu anashift kutokana na ujuzu wake au talenti yake..so hio haiapply tu kwenye michezo ndg...hta kwenye kada zingne hicho kitu Kipo..tatizo umezaliwa sigimbi na unaishi sigimbi sasa unajua tu kwenye michezo tu.. kampuni kubwa Dunian zikimtaka mtu fulani, wanaongea na kampuni yake wanachumkua. Au wanaongea namna ya kumalizana
Pamoja chiefAsante kwa ufafanuzi
feisal hawezi shinda hii kesi hata aende kushtaki mbinguni,hao CAS sana sana watamshauri aiombe yanga ikubali angalau hata signing fee ambapo hata yanga wakikubali basi awe tayari kulipa mamia ya mamilioni na sio ule mteremko alioutaka wa milioni 1121. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn wanalazimisha arudi.
2. Wakaja na maamuzi yaliyo upande wa Yanga bila kushirikisha wapi Feitoto alikosea. Wakasema ufafanuzi Jana. Lkn maamuzi walishirikisha kwenye vyombo vya habari.
3. Jana hawakutoa ufafanuzi Bali Tuzo zilizoegemea Simba ili kuwazima washabiki wa Simba wanaofatilia swala la Feitoto.
Tff wanajua muda wa dirisha dogo Ni mfupi. Wanajua umuhimu wa uamuzi wa haraka kwa Feitoto kuliko Yanga. Dogo anatakiwa apate timu Kama akishinda. Kutotoa ufafanuzi tu baada ya masaa 72 baada ya hukumu kutolewa kunamyima fursa Feitoto kutafuta haki akiona ameonewa.
Hii Ni roho mbaya Kama sio ushetani. Toka hukumu ya Feitoto itolewe hakuna ata mwanasheria moja wa soka aliyeweza kuja kufafanua Ni vipengere vipi ambavyo vilimbana fei asivunje mkataba wake bila sababu wakati mkataba wake ulikuwa na vipengere hivyo.
Zaidi utasikia oh "mkataba hauvunjwi kihuni".
Fei aliweka kipengere Cha kuvunja mkataba bila Sababu kwa kulipa tsh m 100. (Nakumbusha bila Sababu) na mishahara mitatu.
Tulitegemea Tff ije iseme hakuna kipengere hicho kwenye mkataba wa Feitoto au itoe tafsiri ya hicho kipengere.
Kuvunja kwa Sababu zilizoanishwa na FIFA fei asingelipa chochote.. ikiwa Ni pamoja na kutolipwa mshahara au kukaa benchi 90% ya muda kwa mechi kumi bila sababu
Msitumie tuzo kwa Mgunda na Chama kuzima kimya kimya Swala la Feitoto.
Mliwapa muda kijanja Yanga wa kumrudisha bongo Feitoto ili wapate na gepu waongee nae. Nazani imeshindikana.
Ni muda Sasa wa swala lake kuwa wazi tu.
Tff wenyewe hawajui wametumia vifungu gani kuamua walichoamua. Tunataka review ya kesi. Tff watoe kilichofanya Feitoto abaki Yanga. Waache storryy zaoKijana wa watu anashauriwa na watu ambao hawana hekima wala huruma. Unapokutana na mambo madogo kama haya halafu unaona watu wanatumia the hard way kutafuta ufumbuzi ndipo hapo unagundua sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Watu wazima wamwambie tu Feisal arudi Yanga na muda si mrefu watamwuuza kuliko njia ya hovyo anayotaka kupita. Wengi wanaoshabikia hapa hawajui vifungu vilivyomo kwenye mkataba zaidi ya kukariri ile mistari miwili ambayo ni sehemu tu ya mkataba wenye page zaidi ya tano. Kwenda CAS ni matumizi mabaya ya akili na fedha kwasababu Feisal akitayarishiwa statement fupi tu na mtu mwenye akili Yanga watasema mwacheni mtoto wetu aende akatafute maisha. Lakini yeye anatunisha misuli jambo ambalo hata akishinda kesi huko CAS bado yeye ndiye victim. Kuna watu wazima wa kimpira kama akina Ragge, Tenga etc wanaweza kumsaidi kuliko hawa wengine ambao hawajui chochote cha maana. Ajifunze somo kidogo kwa Morisson ambaye aliondoka Yanga kwa kesi lakini leo hao hao ndio waajiri wake. Feisal ni kijana mtanzania ambae tungetamani alisaidie Taifa akiwa mchezaji na hata baada ya kustaafu. Wrong choice ndizo zimewafanya baadhi ya watu wafanikiwe na wengine kushindwa vibaya.
Unataka na nani? Feisal ameshapewa review yake, wewe nenda Zenji kaichukue.Tff wenyewe hawajui wametumia vifungu gani kuamua walichoamua. Tunataka review ya kesi. Tff watoe kilichofanya Feitoto abaki Yanga. Waache storryy zao
Tunataka tuone msingi wa hukumu. Wametumia vifungu vipi? Hii Ni hatari. Tfff wameshindwa kutoa hiyo hukumu kamili zinakuja bra bra na vitisho tufeisal hawezi shinda hii kesi hata aende kushtaki mbinguni,hao CAS sana sana watamshauri aiombe yanga ikubali angalau hata signing fee ambapo hata yanga wakikubali basi awe tayari kulipa mamia ya mamilioni na sio ule mteremko alioutaka wa milioni 112
Mbumbumbu katika ubora wako1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn wanalazimisha arudi.
2. Wakaja na maamuzi yaliyo upande wa Yanga bila kushirikisha wapi Feitoto alikosea. Wakasema ufafanuzi Jana. Lkn maamuzi walishirikisha kwenye vyombo vya habari.
3. Jana hawakutoa ufafanuzi Bali Tuzo zilizoegemea Simba ili kuwazima washabiki wa Simba wanaofatilia swala la Feitoto.
Tff wanajua muda wa dirisha dogo Ni mfupi. Wanajua umuhimu wa uamuzi wa haraka kwa Feitoto kuliko Yanga. Dogo anatakiwa apate timu Kama akishinda. Kutotoa ufafanuzi tu baada ya masaa 72 baada ya hukumu kutolewa kunamyima fursa Feitoto kutafuta haki akiona ameonewa.
Hii Ni roho mbaya Kama sio ushetani. Toka hukumu ya Feitoto itolewe hakuna ata mwanasheria moja wa soka aliyeweza kuja kufafanua Ni vipengere vipi ambavyo vilimbana fei asivunje mkataba wake bila sababu wakati mkataba wake ulikuwa na vipengere hivyo.
Zaidi utasikia oh "mkataba hauvunjwi kihuni".
Fei aliweka kipengere Cha kuvunja mkataba bila Sababu kwa kulipa tsh m 100. (Nakumbusha bila Sababu) na mishahara mitatu.
Tulitegemea Tff ije iseme hakuna kipengere hicho kwenye mkataba wa Feitoto au itoe tafsiri ya hicho kipengere.
Kuvunja kwa Sababu zilizoanishwa na FIFA fei asingelipa chochote.. ikiwa Ni pamoja na kutolipwa mshahara au kukaa benchi 90% ya muda kwa mechi kumi bila sababu
Msitumie tuzo kwa Mgunda na Chama kuzima kimya kimya Swala la Feitoto.
Mliwapa muda kijanja Yanga wa kumrudisha bongo Feitoto ili wapate na gepu waongee nae. Nazani imeshindikana.
Ni muda Sasa wa swala lake kuwa wazi tu.
Kupitia review ya kesi yake wachezaji wengi watajifunza maana ya mkataba. Sio huo ubabaishaji. Na kwa mujibu wa Tff bado hawajampa na wanasema akitaka watampa aende cas lkn hawampaUnataka na nani? Feisal ameshapewa review yake, wewe nenda Zenji kaichukue.
1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn wanalazimisha arudi.
2. Wakaja na maamuzi yaliyo upande wa Yanga bila kushirikisha wapi Feitoto alikosea. Wakasema ufafanuzi Jana. Lkn maamuzi walishirikisha kwenye vyombo vya habari.
3. Jana hawakutoa ufafanuzi Bali Tuzo zilizoegemea Simba ili kuwazima washabiki wa Simba wanaofatilia swala la Feitoto.
Tff wanajua muda wa dirisha dogo Ni mfupi. Wanajua umuhimu wa uamuzi wa haraka kwa Feitoto kuliko Yanga. Dogo anatakiwa apate timu Kama akishinda. Kutotoa ufafanuzi tu baada ya masaa 72 baada ya hukumu kutolewa kunamyima fursa Feitoto kutafuta haki akiona ameonewa.
Hii Ni roho mbaya Kama sio ushetani. Toka hukumu ya Feitoto itolewe hakuna ata mwanasheria moja wa soka aliyeweza kuja kufafanua Ni vipengere vipi ambavyo vilimbana fei asivunje mkataba wake bila sababu wakati mkataba wake ulikuwa na vipengere hivyo.
Zaidi utasikia oh "mkataba hauvunjwi kihuni".
Fei aliweka kipengere Cha kuvunja mkataba bila Sababu kwa kulipa tsh m 100. (Nakumbusha bila Sababu) na mishahara mitatu.
Tulitegemea Tff ije iseme hakuna kipengere hicho kwenye mkataba wa Feitoto au itoe tafsiri ya hicho kipengere.
Kuvunja kwa Sababu zilizoanishwa na FIFA fei asingelipa chochote.. ikiwa Ni pamoja na kutolipwa mshahara au kukaa benchi 90% ya muda kwa mechi kumi bila sababu
Msitumie tuzo kwa Mgunda na Chama kuzima kimya kimya Swala la Feitoto.
Mliwapa muda kijanja Yanga wa kumrudisha bongo Feitoto ili wapate na gepu waongee nae. Nazani imeshindikana.
Ni muda Sasa wa swala lake kuwa wazi tu.
Acha ushamba, Release clause inaruhusu mchezaji kununua mkataba wake na pesa itakayolipwa ni hiyo tu ya Release clause, hakuna maongezi yoyote ya ziada, alichofanya Fei Toto ni sahihi kisheria na atashinda mwisho wa siku, haki ya mtu haipotea, inacheleweshwa tu.Ndugu mwandishi tulia kwanza! Hivi nanni anaweza kukubali kuweka kipengere cha kuvunja mkataba bila sababu? Mbona mnafanya mambo kihisia nani hiyo?
Hakuna mkataba wa mchezaji yeyote Dunian ambao unakosa kipengere cha kiterminate mkataba kwa kila upande, ila lazima kuwe na sababu zitazopelekea kuvunjwa kwa mkataba uo! Msije mkadhan hiko kipengere kitatumika eti kwasababu kuna ofa nzuri umepata basi uamke ukavunje mkataba, usije ukadhan hicho kipengere kiko uchi namna hiyo!
Onyango kipindi Mgunda hajaingia Simba alikuwa anakosa namba, unakumbuka iliibuka tetesi hapa kutaka kuondoka? Unajua angeondokaje? Basi nakuambia moja ya kipengere hichohicho ndicho akitaka kukitumia kwasababu alikuwa hapangwi, ila Onyango alikaa na waajiri wake wakayamaliza ila sio utoto kama wa Feisal kuwa umelala umeamka asubh bas unaenda kuterminate mkataba! Hakuna uo mwanya aisee.
Mwisho Feisal ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba sio kwa mujibu wa hisia, Feisal atulize kitako atafute wanajua sheria aachane na washauri wabovu kama nyinyi mtampotosha na atapotea.
Tupe Review ya MorrisonKupitia review ya kesi yake wachezaji wengi watajifunza maana ya mkataba. Sio huo ubabaishaji. Na kwa mujibu wa Tff bado hawajampa na wanasema akitaka watampa aende cas lkn hawampa
Tff wenyewe hawajui wametumia vifungu gani kuamua walichoamua. Tunataka review ya kesi. Tff watoe kilichofanya Feitoto abaki Yanga. Waache storryy zao
Akili kisoda. Huo ushabiki wako maandazi utakupasua moyo.1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn wanalazimisha arudi.
2. Wakaja na maamuzi yaliyo upande wa Yanga bila kushirikisha wapi Feitoto alikosea. Wakasema ufafanuzi Jana. Lkn maamuzi walishirikisha kwenye vyombo vya habari.
3. Jana hawakutoa ufafanuzi Bali Tuzo zilizoegemea Simba ili kuwazima washabiki wa Simba wanaofatilia swala la Feitoto.
Tff wanajua muda wa dirisha dogo Ni mfupi. Wanajua umuhimu wa uamuzi wa haraka kwa Feitoto kuliko Yanga. Dogo anatakiwa apate timu Kama akishinda. Kutotoa ufafanuzi tu baada ya masaa 72 baada ya hukumu kutolewa kunamyima fursa Feitoto kutafuta haki akiona ameonewa.
Hii Ni roho mbaya Kama sio ushetani. Toka hukumu ya Feitoto itolewe hakuna ata mwanasheria moja wa soka aliyeweza kuja kufafanua Ni vipengere vipi ambavyo vilimbana fei asivunje mkataba wake bila sababu wakati mkataba wake ulikuwa na vipengere hivyo.
Zaidi utasikia oh "mkataba hauvunjwi kihuni".
Fei aliweka kipengere Cha kuvunja mkataba bila Sababu kwa kulipa tsh m 100. (Nakumbusha bila Sababu) na mishahara mitatu.
Tulitegemea Tff ije iseme hakuna kipengere hicho kwenye mkataba wa Feitoto au itoe tafsiri ya hicho kipengere.
Kuvunja kwa Sababu zilizoanishwa na FIFA fei asingelipa chochote.. ikiwa Ni pamoja na kutolipwa mshahara au kukaa benchi 90% ya muda kwa mechi kumi bila sababu
Msitumie tuzo kwa Mgunda na Chama kuzima kimya kimya Swala la Feitoto.
Mliwapa muda kijanja Yanga wa kumrudi bongo Feitoto ili wapate na gepu waongee nae. Nazani imeshindikana.
Ni muda Sasa wa swala lake kuwa wazi tu.
Pamoja na kutaka maisha mazuri lazima kila upande utimize contractual obligations, fei arudi yanga wayajenge. Mkataba ni sehemu 2 huwezi kushauriwa na mkeo usiku unaamka asubuhi eti nimevinja mkataba. Mpira ni biashara lazima taratibu ziheshimiwe.Tuache ujinga sisi Yanga. Fei anataka maisha bora aende. Ni Ujinga kusema kaikosea Yanga.
Waswahili sheria kwetu ni kizungumkuti.Utopolo hawana haki yoyote kwenye hili, TFF nao ni wahuni wanaoibeba Yanga, na wale mashabiki wanaoitetea Yanga kwenye hili ni wajinga tu hawajui chochote, hili nitalisema siku zote mpaka mwisho wa dunia, wacha wanune.
Yanga walitakiwa waje na kipengele kingine kinachowabeba wao toka kwenye mkataba walioingia na Fei, lakini wako kimya, haya TFF nanyi semeni Fei amekiuka kipengele gani kwenye mkataba na Yanga, nao wako kimya, kwenye hali hii ni mjinga pekee atakaeendelea kuamini Yanga wana haki kwenye hili suala.
Siku zote hakuna mambo ya taratibu yaliyoko juu ya sheria, hizo taratibu ni mazoea tu, hazina uzito wowote wala hazimbani vyovyote atakaezikiuka, muhimu afanye kulingana na vipengele vya mkataba, nyie mnaoshikilia sababu za taratibu ni vihiyo, hamuijui sheria.