Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Msafiri Kafiri.
Huna jinsi inakubini kubadili tabia zako ili zifanane na wenyeji wako.
Huko Mkoani Arusha, Wilaya ya Arumeru imepigwa marufuku kuvaa nguo za Kifahari na kuwa na msururu wa magari wakati wa Maziko.
Kwa hiyo maamuzi mengine yanayofanywa hayahusiani na Uislamu ila utawala wa sehemu husika.
 
wew
Wewe ni msemaji wa waislamu ? Umetembelea grocery za Sinza, zinazouza kitimoto, ?/ waislam hawali nyama za porini? mfano nyati, viboko, tembo nk nani anachinja hiyo mifugo, uelewa wako ni mdogo kama ubongo wa mbu
wewe uelewa wako ni mbovu kama kinyesi maana kwa mujibu wa uislamu wanyama wa porini sio nyamafu.

Na kuhusu suala la kitimoto halihitaji hata akili kubwa kujua kama waislamu kwa maana ya waislamu hula kitimoto.
Wanaweza kuwepo ila hao labda wanamajina ya kiislamu ni wakristo kwa imani.

Ukitaka kujua maana ya ngurue kwa muislamu pita naye msikitini.
 
njoo kwa bibi janet hapa mbweni uone inavyolika mpaka na waislam tena maustaadh
hakuna muislam anaekula kitu hiko mnachofanya ni kuvaa kanzu na kofia ili muonekane kuwa waislam huku mnakula nguruwe nakuhakikishia 100% muislam atafanya yooote sio kula nguruwe hata iweje. endelea na propaganda zenu nao wanakula hiyo haramu
 
Hii dunia ya ajabu kweli yaani mtu anayekula nguruwe ndo anaonekana ana dhambi sana kuliko anayezini?
 
Hii dunia ya ajabu kweli yaani mtu anayekula nguruwe ndo anaonekana ana dhambi sana kuliko anayezini?
wote wana dhambi, ila nguruwe haina defence ukila kwani umekusudia ila kuzini yaweza kuwa umebakwa
 
wote wana dhambi, ila nguruwe haina defence ukila kwani umekusudia ila kuzini yaweza kuwa umebakwa
Mkuu siongelei waliobakwa naongelea wanaozini kwa hiari yao wenyewe wakiwa na akili timamu na hao ndo wengi lakini nao utakuta ndo wanasimamisha mishipa kuwaponda watu wanaokula nguruwe duuh
 
Mkuu siongelei waliobakwa naongelea wanaozini kwa hiari yao wenyewe wakiwa na akili timamu na hao ndo wengi lakini nao utakuta ndo wanasimamisha mishipa kuwaponda watu wanaokula nguruwe duuh
dhambi yoyote lazima isemwe na ipingwe hasa ya kukusudia
 
dhambi yoyote lazima isemwe na ipingwe hasa ya kukusudia
Sasa mkuu ushawahi kusikia wanaozini wanasemwa au wanapingwa hasa humu mitandaoni tena zaidi na zaidi utasikia siku hizi watu wanasifia kuwa kuchepuka ni kawaida na hakuna tena kusubiri hadi watu wafunge ndoa ndo wakutane kimwili lakini hao hao utawasikia wanavyojifanya wanawalaani wala nguruwe kwa kigezo cha kuwa Mungu hapendi sasa sijui hiyo dhambi ya uzinzi ndo anaipenda
 
Story za zinaa humu jf na mambo ya kuchepuka wagala ndo wanaongoza.

Pia kusifia kitimoto wagala wanaongoza.
Mkuu wewe ndo umeamua kuja na matango pori kabisa ukihisi kila mtu humu ni zwanzwa humu jf wengi tunajuana na mimi nawajua waislam wanaofanya huo ujinga na vile vile nawajua wakristo wasiofanya huo ujinga halafu kumbuka wanaume hawapo jf tu

Kuna mitandao mingine na mitaani pia wapo wanaume wengi tu wanaofanya hayo usilete udini kwenye kila kitu hadi kwenye mambo ambayo ni general tena naweza kusema dini ya kiislam ndo inachochoea umalaya kwa kuwadanganya watu kuwa mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja
 
Yaani mpka leo sijuhi watalii uwa wanafuata nn Zanzibar. I treat Zanzibaris and their Islamic belief, as uncivilized community
 
Mimi mbona ningepika nje? Ukristo ni wa kistaarabu sana, hubuguzwi
 
Yaani mpka leo sijuhi watalii uwa wanafuata nn Zanzibar. I treat Zanzibaris and their Islamic belief, as uncivilized community
It's a very good island for tourism ila watu wake sasa hawaendani hata na kisiwa chao
 
Walaji wa kitimoto na wanywaji wa pombe ni walewale, kabla na baada ya Ramadhani. Kinachotokea wakati wa Ramadhani ni suala la kuheshimiana tu na ujirani, watu wanapunguza fujo ili wenzao wafanye ibada zao. Wanaepuka kuwakwaza wenzao. Ni hivyo tu. Mfungo ukiisha watu wanarudia bata zao
Yani mtu aache kula bata kisa wewe unashinda na njaa oh sorry umefunga!
 
Unajua watu wanabisha vitu wasivyovijua kipindi Cha ramadhani nyama ya nguruwe haiendi kabisa me nauza nyama ya nguruwe na nna miaka 4 nafanya hii biashara ukifika kipindi Cha mfungo basi hua napunguza idadi ya kuchinja ,waislam wengi wanakula nguruwe Tena wanadai ambao hawali ni kwa sababu hawajawahi kuonja nyama ya nguruwe ipo poa sana
 
Sasa mkuu ushawahi kusikia wanaozini wanasemwa au wanapingwa hasa humu mitandaoni tena zaidi na zaidi utasikia siku hizi watu wanasifia kuwa kuchepuka ni kawaida na hakuna tena kusubiri hadi watu wafunge ndoa ndo wakutane kimwili lakini hao hao utawasikia wanavyojifanya wanawalaani wala nguruwe kwa kigezo cha kuwa Mungu hapendi sasa sijui hiyo dhambi ya uzinzi ndo anaipenda
mkuu kufanya dhambi moja hakuhalalishi dhambi nyingine, kama kuna mtu kafanya dhambi ya uzinzi sio sawa kuhalalisha nguruwe eti kisa mzinzi. nguruwe ni haram na ngono pia haram
 
mkuu kufanya dhambi moja hakuhalalishi dhambi nyingine, kama kuna mtu kafanya dhambi ya uzinzi sio sawa kuhalalisha nguruwe eti kisa mzinzi. nguruwe ni haram na ngono pia haram
Wala sijahalalisha dhambi nyingine kwa sababu ya dhambi moja ila point yangu ni kwamba na uzinzi nao ukemewe kama ambavyo ulaji wa nguruwe unakemewa vinginevyo hiyo ya kukemea dhambi moja na kuacha nyingine ni unafiki
 
Mi uislam wangu sio mfia dini,ila nashangaa sana wenzangu wanakuw complicator kwa vitu tulivyoletewa.malezi ya kiislam aliyonilea mzazi sio ya kubagua dini ya mtu,kumlazimisha mtu afate imani yako ila kila mtu asimamie misingi ya dini yake inasema nn.marafiki zangu wengi ni Christian lakini hatujawahi kwazana kuhusu dini,coz kila mtu anafata taratibu zake.
 
Back
Top Bottom