wewe uelewa wako ni mbovu kama kinyesi maana kwa mujibu wa uislamu wanyama wa porini sio nyamafu.Wewe ni msemaji wa waislamu ? Umetembelea grocery za Sinza, zinazouza kitimoto, ?/ waislam hawali nyama za porini? mfano nyati, viboko, tembo nk nani anachinja hiyo mifugo, uelewa wako ni mdogo kama ubongo wa mbu
hakuna muislam anaekula kitu hiko mnachofanya ni kuvaa kanzu na kofia ili muonekane kuwa waislam huku mnakula nguruwe nakuhakikishia 100% muislam atafanya yooote sio kula nguruwe hata iweje. endelea na propaganda zenu nao wanakula hiyo haramunjoo kwa bibi janet hapa mbweni uone inavyolika mpaka na waislam tena maustaadh
Hii dunia ya ajabu kweli yaani mtu anayekula nguruwe ndo anaonekana ana dhambi sana kuliko anayezini?hakuna muislam anaekula kitu hiko mnachofanya ni kuvaa kanzu na kofia ili muonekane kuwa waislam huku mnakula nguruwe nakuhakikishia 100% muislam atafanya yooote sio kula nguruwe hata iweje. endelea na propaganda zenu nao wanakula hiyo haramu
wote wana dhambi, ila nguruwe haina defence ukila kwani umekusudia ila kuzini yaweza kuwa umebakwaHii dunia ya ajabu kweli yaani mtu anayekula nguruwe ndo anaonekana ana dhambi sana kuliko anayezini?
Mkuu siongelei waliobakwa naongelea wanaozini kwa hiari yao wenyewe wakiwa na akili timamu na hao ndo wengi lakini nao utakuta ndo wanasimamisha mishipa kuwaponda watu wanaokula nguruwe duuhwote wana dhambi, ila nguruwe haina defence ukila kwani umekusudia ila kuzini yaweza kuwa umebakwa
dhambi yoyote lazima isemwe na ipingwe hasa ya kukusudiaMkuu siongelei waliobakwa naongelea wanaozini kwa hiari yao wenyewe wakiwa na akili timamu na hao ndo wengi lakini nao utakuta ndo wanasimamisha mishipa kuwaponda watu wanaokula nguruwe duuh
Sasa mkuu ushawahi kusikia wanaozini wanasemwa au wanapingwa hasa humu mitandaoni tena zaidi na zaidi utasikia siku hizi watu wanasifia kuwa kuchepuka ni kawaida na hakuna tena kusubiri hadi watu wafunge ndoa ndo wakutane kimwili lakini hao hao utawasikia wanavyojifanya wanawalaani wala nguruwe kwa kigezo cha kuwa Mungu hapendi sasa sijui hiyo dhambi ya uzinzi ndo anaipendadhambi yoyote lazima isemwe na ipingwe hasa ya kukusudia
Mkuu wewe ndo umeamua kuja na matango pori kabisa ukihisi kila mtu humu ni zwanzwa humu jf wengi tunajuana na mimi nawajua waislam wanaofanya huo ujinga na vile vile nawajua wakristo wasiofanya huo ujinga halafu kumbuka wanaume hawapo jf tuStory za zinaa humu jf na mambo ya kuchepuka wagala ndo wanaongoza.
Pia kusifia kitimoto wagala wanaongoza.
It's a very good island for tourism ila watu wake sasa hawaendani hata na kisiwa chaoYaani mpka leo sijuhi watalii uwa wanafuata nn Zanzibar. I treat Zanzibaris and their Islamic belief, as uncivilized community
Yani mtu aache kula bata kisa wewe unashinda na njaa oh sorry umefunga!Walaji wa kitimoto na wanywaji wa pombe ni walewale, kabla na baada ya Ramadhani. Kinachotokea wakati wa Ramadhani ni suala la kuheshimiana tu na ujirani, watu wanapunguza fujo ili wenzao wafanye ibada zao. Wanaepuka kuwakwaza wenzao. Ni hivyo tu. Mfungo ukiisha watu wanarudia bata zao
Na Bikira 12.....dadekiii...Eti pepo ya FIRDAUS
mkuu kufanya dhambi moja hakuhalalishi dhambi nyingine, kama kuna mtu kafanya dhambi ya uzinzi sio sawa kuhalalisha nguruwe eti kisa mzinzi. nguruwe ni haram na ngono pia haramSasa mkuu ushawahi kusikia wanaozini wanasemwa au wanapingwa hasa humu mitandaoni tena zaidi na zaidi utasikia siku hizi watu wanasifia kuwa kuchepuka ni kawaida na hakuna tena kusubiri hadi watu wafunge ndoa ndo wakutane kimwili lakini hao hao utawasikia wanavyojifanya wanawalaani wala nguruwe kwa kigezo cha kuwa Mungu hapendi sasa sijui hiyo dhambi ya uzinzi ndo anaipenda
Wala sijahalalisha dhambi nyingine kwa sababu ya dhambi moja ila point yangu ni kwamba na uzinzi nao ukemewe kama ambavyo ulaji wa nguruwe unakemewa vinginevyo hiyo ya kukemea dhambi moja na kuacha nyingine ni unafikimkuu kufanya dhambi moja hakuhalalishi dhambi nyingine, kama kuna mtu kafanya dhambi ya uzinzi sio sawa kuhalalisha nguruwe eti kisa mzinzi. nguruwe ni haram na ngono pia haram